Aliyejaribu kumuua Donald Trump alipigana kwenye vita vya Ukraine. Maswali mengi yaibuka

Aliyejaribu kumuua Donald Trump alipigana kwenye vita vya Ukraine. Maswali mengi yaibuka

Duniani sasa hivi kila sehemu ni vurugu tu.Huko US uchaguzi huu..mara wanataka kuuana, mara vijembe, matusi, upendeleo live wa vyombo vya habari yaani kama Afrika ingawa hawajafikia level zetu.
Huyu Trump awe makini mara ya tatu watamuondoa kwelikweli..
 
Back
Top Bottom