Aliyejifanya YESU atimuliwa Kenya

Mnajifanya kumkashifu hapa wakati hata huyo yesu mwenyewe hamumjui. Hakuna mwenye uhakika pasi na shaka kwamba huyo jamaa sio yesu.
Mmejuaje huyo sio yesu wakati yesu mwenyewe hamumjui?
Au mnasubiri mpaka atokee huko roma au vatican kwa watawala wenu wa kifikra ndio muamini?
 


Kabla ya kuwa huna dini ulikuwa na dini gani ??
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sijajishutukia ila wewe ndiyo umejishitukia mpaka umeniquote. Kama haukujishutukia ungepita kimya kimya. Ungecomment bila kuniquote na ndiyo maana sijataja dini ya mtu. Boko haramu dini yao ni Budhaa. Sijui wasiwasi wako unatoka wapi.
Kanuni gani ilosema kumquote mtu ni kujishtukia? 😀

Nimekuquote kwa sababu umezungumzia dini ya wengine, sasa mimi nilichofanya ni kukufahamisha tu kama wao hawataki masikhara na pumbuvau, wanaoendekeza upumbavu ndio hao wenye mitume kila chochoro! Tatizo nini kwani? Au imekugusa?
 
Ni dini gani niliyoitaja? Sikutaja dini ya mtu lakini naona umejishitukia. Dini zililetwa na watu kwa nia njema ya kuhubiri neno la Mungu lakini watu wanatumia dini kuhalalisha maovu. Kwahiyo haimaniishi mtu wa dini fulani akitenda maovu ni wa dini hiyo. Mungu anahubiriwa kwa maneno, kauli na matendo mema. THINK BIG
DINI NI UGONJWA MBAYA SANA KATIKA DUNIA HII. HAO HAO WALIOLETA DINI NDIYO WALIUZA NDUGU ZAKO UTUMWANI.
 
Waislamu hawana mambo kama hayo.

Suala si la waislam, suala ni nchi ya uchumi mkubwa, yenye watu waliosoma kupindukia, wanaojua kiingereza (maana wenyewe wanaamini ukijua kiingereza unakuwa na akili zaidi) wanatapeliwa kwa urahisi namna hiyo.
 


Kwaio wewe unajua kuwa Dini imekuja kuamrisha watu wafanye mazuri ila kwa vile baadhi wanatumia mwamvuli wa dini kufanya maovu ndio maana yake kuwa dini ni ugonjwa? Basi kila kitu ni ugonjwa tukitumia logic yako.
 
Wakenya buuuuana mna matukio
Kuwapenda wazungu sana mmegeuzwa wapumbavu sasa ndio nini
Kwa nini asihubirie huko alikotoka aje Kenya?
Mkome!
 
Mamlaka nchini Kenya zimemtimua mwanaume mmoja ambaye anajinasibu kama Yesu huku zikimtia mbaroni mchungaji aliyemkaribisha mtu huyo.

Imeelezwa kuwa wachungaji wawili waliandaa kongamano la kidini kisha kuwaambia wafuasi wao kwamba Yesu Kristu wa Nazareti ametua

Mwanaume huyo anayejitambulisha kama Yesu amejulikana kwa majina yake halisi kama Michael Job ambaye pia ana kanisa lake aliloliiita 'Jesus Loves You Evangelistic Ministries'.

Hivi karibuni kulisambaa kwa picha kwenye mitandao ya kijamii zikimuonesha mtu huyo akishangiliwa na kusakata muziki kama Yesu Kristu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…