maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
- Thread starter
-
- #21
Kwani vifo vyote si inabidi vichunguzwe? Mazingira yenyewe ya kifo yana utata ndio maana polisi waliongea. Maswali mengi yanahitaji kujibiwaUchunguzi kuhusu nini? Alikuwa na impact gani kwa taifa?
Bongo, sijui
Ndoa zina mafumbo makubwa sanaNimegundua alikuwa kaoa dada mkikuyu mkenya. Hapa kazi alikuwa nayo si siri.
Ila nimempenda maana hatumii mkorogo kama figo76Nimepita kwenye page ya Facebook ya mke,mke alipost picha.Kuna mtu akamwambia hana makuu. Mc Joe akaja akashangaa nani hana makuu?View attachment 2636192
Nakumbuka enzi hizo nilikuwa na mchepuko unafanya kazi Arusha. Nilimtembelea, wakati nikiongea na mdogo wake, akawa ananisangaa na si kushangaa kuwa inakuwaje natoka Dar hadi Arusha kufuata K! Nikamsubiria, alipoyaanza nilimchan alipotoka (mtoto wa kike) Dar kwenda Songea kufuata Dushe. Nilipomkumbusha alisema ulikuwa ni utoto. Ndugu yangu unachouliza subiria unaweza kufuata kikojoleo Ukraine wakati kuna mrusi anafyeka watu kama hana akili nzuri. Muulize figo76 alivyoifuta kikojoleo huko mwanza na kikamkimbia mtoto wa kike.hivi inakuwaje unaenda kuoa mkeya kabisa aisee? kweli hapa bongo hamna wanawake?
Sipendi utani basi tuNakumbuka enzi hizo nilikuwa na mchepuko unafanya kazi Arusha. Nilimtembelea, wakati nikiongea na mdogo wake, akawa ananisangaa na si kushangaa kuwa inakuwaje natoka Dar hadi Arusha kufuata K! Nikamsubiria, alipoyaanza nilimchan alipotoka (mtoto wa kike) Dar kwenda Songea kufuata Dushe. Nilipomkumbusha alisema ulikuwa ni utoto. Ndugu yangu unachouliza subiria unaweza kufuata kikojoleo Ukraine wakati kuna mrusi anafyeka watu kama hana akili nzuri. Muulize figo76 alivyoifuta kikojoleo huko mwanza na kikamkimbia mtoto wa kike.
Hujaileta kwangu huku mpigamiti ninapoishiWew kaka ivi nimekukosea nini haswa?
SipendHujaileta kwangu huku mpigamiti ninapoishi
Nimegundua alikuwa kaoa dada mkikuyu mkenya. Hapa kazi alikuwa nayo si siri.
Polisi waanzie hapa.Nimepita kwenye page ya Facebook ya mke,mke alipost picha.Kuna mtu akamwambia hana makuu. Mc Joe akaja akashangaa nani hana makuu?View attachment 2636192
Mkuu kapicha basi tuwatambue....Ili tutoke ndukiii ππππππWakikuyu Ni wamachame x3.
Kuna wakikuyu Aina mbili. Kikuyu wa Nyeri Kama mke wa rais Kibaki (mnakumbuka alivyomuendesha Kibaki hata akiwa rais) Hawa Ni machame Γ 5.
Na Kuna kikuyu wa Kiambuu. Hawa anaweza akuzike hapo hapo sitting room kwako na maisha yaendelee. Ni wazuri kwa sura tatizo miguu.
Wapewe maua yaoHawa wakikuyu ukimpiga mkeo wanajikusanya wanawake wa mtaa mzima na kukusubiri utoke kazini Ili walipe kisasi
Ingekuwa mwanamke ndiye kjiua kwasababu tunazohisi ni za ugomvi, feminist wangeshaja uz kwa comment za mapovu kwa me.Basi inaonekana waligombana na mke anajua sababu ya mumewe kujiua
Wanaume huwa hatuna haki na hata kuteteana haipo... Unaweza kushangaa kosa la mwanamke, mwanaume anageuziwa kibaoIngekuwa mwanamke ndiye kjiua kwasababu tunazohisi ni za ugomvi, feminist wangeshaja uz kwa comment za mapovu kwa me.
Kwani uchunguzi hadi mtu uwe na impact kwa jamii?Uchunguzi kuhusu nini? Alikuwa na impact gani kwa taifa?
Bongo, sijui
Ukisoma message za watu wengine unasema hiiiiii... Kweli kwa wengine ule msemo marehemu hana haki unaapplyKwani uchunguzi hadi mtu uwe na impact kwa jamii?
Ya kweli hayo??Sipend