Aliyejiua Derm Plaza azikwa

Aliyejiua Derm Plaza azikwa

Uchunguzi kuhusu nini? Alikuwa na impact gani kwa taifa?

Bongo, sijui
Kwani vifo vyote si inabidi vichunguzwe? Mazingira yenyewe ya kifo yana utata ndio maana polisi waliongea. Maswali mengi yanahitaji kujibiwa
 
hivi inakuwaje unaenda kuoa mkeya kabisa aisee? kweli hapa bongo hamna wanawake?
Nakumbuka enzi hizo nilikuwa na mchepuko unafanya kazi Arusha. Nilimtembelea, wakati nikiongea na mdogo wake, akawa ananisangaa na si kushangaa kuwa inakuwaje natoka Dar hadi Arusha kufuata K! Nikamsubiria, alipoyaanza nilimchan alipotoka (mtoto wa kike) Dar kwenda Songea kufuata Dushe. Nilipomkumbusha alisema ulikuwa ni utoto. Ndugu yangu unachouliza subiria unaweza kufuata kikojoleo Ukraine wakati kuna mrusi anafyeka watu kama hana akili nzuri. Muulize figo76 alivyoifuta kikojoleo huko mwanza na kikamkimbia mtoto wa kike.
 
Sipendi utani basi tu
 
Wakikuyu Ni wamachame x3.
Kuna wakikuyu Aina mbili. Kikuyu wa Nyeri Kama mke wa rais Kibaki (mnakumbuka alivyomuendesha Kibaki hata akiwa rais) Hawa Ni machame × 5.
Na Kuna kikuyu wa Kiambuu. Hawa anaweza akuzike hapo hapo sitting room kwako na maisha yaendelee. Ni wazuri kwa sura tatizo miguu.
Mkuu kapicha basi tuwatambue....Ili tutoke ndukiii 😃😃😀😀😊😊
 
Ingekuwa mwanamke ndiye kjiua kwasababu tunazohisi ni za ugomvi, feminist wangeshaja uz kwa comment za mapovu kwa me.
Wanaume huwa hatuna haki na hata kuteteana haipo... Unaweza kushangaa kosa la mwanamke, mwanaume anageuziwa kibao
 
Jamaa kaamua njia nyepesi ni kuyakimbia matatizo once and for all.

Fanya yote ila kiumbe unayeamua kuishi naye ndani ndiye aliye na funguo za maisha yako...wala si elimu.
 
Back
Top Bottom