Aliyejizolea umaarufu kwa kuwapigia simu Zimamoto ili ajifurahishe afunga ndoa

Aliyejizolea umaarufu kwa kuwapigia simu Zimamoto ili ajifurahishe afunga ndoa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
1709729008530.jpg
Mwanadada maarufu pande za Nyankumbo Geita alibahatika kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi Shaaban Nyakonga ambaye ni askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Geita.

Itakumbukwa takribani miaka 2 iliyopita mwanadada Shelida alijizolea umaarufu baada ya kuwapigia zimamoto simu kwa lengo la kujifurahisha na hivyo kusababisha hasara.

Baada ya kumalizika kwa purukushani hiyo askari Nyakonga alianza utaratibu wa kuliweka jiko hilo ndani kihalali.
 
Natamani kumsikia Askari Nyakonga juu ya alichovutiwa na huyo dada.
 
View attachment 2926170
Mwanadada maarufu pande za Nyankumbo Geita alibahatika kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi Shaaban Nyakonga ambaye ni askari wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa Geita...
Yaani alipiga simu ZIMAMOTO WAJE KUZIMA NYEGE ZAKE AU MI SIJAELEWA MAANA YA KUJIFURAHISHA ALIKOTAKA?
 
 
Hii ndio ile mbuzi kadondokea machinjioni, baharia ametuheshimisha sana, kazi iendelee.
 
Akipelekewa moto kwenye kwichi kwichi sijui atawapigia tena?
 
Back
Top Bottom