Wapi umesoma kuwa alikaa miaka 7 kwa kuwa "upelelezi haujakamilika"?
Nilichoona mimi alikuwa na kosa la "utakatishaji fedha" ambalo, nijuavyo, halina dhamana
Sasa unashangaa hii? Umesahau accacia tulikua tunawadai trillion 400 tukaambulia milioni mia kadhaa?Hasara ya Mil 500 ila fidi analipa Mil 12!
Wapi umesoma kuwa alikaa miaka 7 kwa kuwa "upelelezi haujakamilika"?
Nilichoona mimi alikuwa na kosa la "utakatishaji fedha" ambalo, nijuavyo, halina dhamana
Ukisoma mpaka mwisho utaelewa kuwa alikuwa na "wenzake" hakuwa peke yake.
Sijaisoma ndiyo maana nika "comment" ulivyonisoma....Mkuu, kwani wewe hujaisoma vizuri Post hii kwa kuanzia na Kichwa cha habari???
Swali jepesi sana limeshakuqa "ujuaji".We Binti wakati mwengine punguza UJUAJI
Bado ngumu kumeza,Kwakuwa ana mtoto mdogo anaemumwa saratani na ameshakaa miaka 7 gerezani nadhani angeachwa tu hiyo pesa aende akamuuguze mwanawe, tuwe na utu kidogo, ameshakiri na kujutia, aachwe tu.
miaka saba!!!Kala bingo
Miaka saba mahabusu umeisahau. Jela kubaya sana. Wiki moja tu inatoshaHasara ya Mil 500 ila fidi analipa Mil 12!
Sio kitu pesa ipo ..hajatupa mda ..ametoka na ataitumia vizuri tu.miaka saba!!!
weee nawe ina maana makosa ya utakatishaji wa pesa yanamfanya mtu ake mahabusu miaka 7!!!!!!!!!!!!Wapi umesoma kuwa alikaa miaka 7 kwa kuwa "upelelezi haujakamilika"?
Nilichoona mimi alikuwa na kosa la "utakatishaji fedha" ambalo, nijuavyo, halina dhamana
Mahabusu miaka saba! Kuna haja ya kubadili mfumo wa upelelezi katika nchi yetu haiwezekani unapeleleza miaka saba huku mtuhumiwa akiwa Mfungwa wa Mahabusu bila kuthibitishwa hatia yake
Na baada ya miaka yote hiyo, serikali bado imeshindwa kuiletea mahakama ushahidi, mpaka mtuhumiwa aamua kukubali ili yaishe.
Vyuo vyetu vinatoa wahitimu vilaza.
Kwani nimeandika mimi hizi habari?weee nawe ina maana makosa ya utakatishaji wa pesa yanamfanya mtu ake mahabusu miaka 7!!!!!!!!!!!!
No hurry in AfricaMahabusu miaka saba! Kuna haja ya kubadili mfumo wa upelelezi katika nchi yetu haiwezekani unapeleleza miaka saba huku mtuhumiwa akiwa Mfungwa wa Mahabusu bila kuthibitishwa hatia yake