Aliyekaa mahabusu miaka 7 kwa kukisababishia Chuo Kikuu Huria hasara, ahukumiwa

Aliyekaa mahabusu miaka 7 kwa kukisababishia Chuo Kikuu Huria hasara, ahukumiwa

Wapi umesoma kuwa alikaa miaka 7 kwa kuwa "upelelezi haujakamilika"?

Nilichoona mimi alikuwa na kosa la "utakatishaji fedha" ambalo, nijuavyo, halina dhamana
Una ujuaji wa kijinga sana, ko kosa kukosa dhamana ndo ukae miaka 7. bila kesi yako kusomwa.

kama ilisomwa kilicho kwamisha ni nini? kama sio ukosefu wa ushahidi (upelelezi kutokamilika).
 
Wapi umesoma kuwa alikaa miaka 7 kwa kuwa "upelelezi haujakamilika"?

Nilichoona mimi alikuwa na kosa la "utakatishaji fedha" ambalo, nijuavyo, halina dhamana
Sasa kama upelelezi ulikamilika ni nini kilichofanya akae ndani miaka yote hiyo?
Unazeeka vibaya kikongwe, tumia hata akili ya kunywea uji tu!!
 
Aliyekaa miaka 7 mahabusu kwa kukisababishia chuo hasara ahukumiwa. Kesi ilikuwa haijaanza vinginevyo isingekwenda kwa DPP.
Hicho ndicho kichwa cha habari.
Kumbe kesi ikishaanza hakuna kusamehewa na DPP?
 
Sio kitu pesa ipo ..hajatupa mda ..ametoka na ataitumia vizuri tu.
hiyo miaka saba angezipata hizo m400?
Kumbuka hakuwa mwenyewe na hawakuzichukua kwa mkupuo mmoja.
Kuna kuuza mali ya chuo kwa bei ya kutupa pia! Hivyo usijidanganye kuwa hivyo 500m ilipatikana. Mkumbuke tuliyeaminishwa anaingia 7m kwa dakika halafu changanya na za kwako!
 
Back
Top Bottom