Pre GE2025 Aliyekosoa uteuzi wa Samia kuwa mgombea Urais ahofia maisha yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndivyo ilivyo kwa nchi yetu! Ukichagua kusema Ukweli ujiabdae kwa lo lote baya.
Hata hivyo mchungaji ametoa tahadhari kama kinga.
 
Kwa hiyo huyo mshuganji alikuwa hajasoma kisa cha Daudi na Mfalme Sauli?

Li Sauli ile kuona Daudi anaimbiwa kuwa ameua makumi elfu halafu lenyewe wanaliimbia limeua maelfu likasema moyoni

Wamebakiza kumpa ufalme pekee.

Kuanzia hapo, Daudi aliishi kama ndege mpaka alipokufa Sauli.
 
Huyo wenge ndio litamuua na sio kingine. Yaani CCM itishwe na mtu ndogo kama huyo? Ujinga kabisa!
 
Uzuri watakao kuua na kukutishia wanajitengenezea laana .Ona sasa watoto wa viongozi walivyo kaputi .Viongozi wanaumwa magonjwa ya kutatanisha nk .Na wao hawaishi milele watakufa tu hata uwe raisi au papa.
Kivip wakati hata wewe ulietapeliwa na hao viongozi pia unateseka kwa ugumu wa maisha na kuumwa na hatimae kufa?
 
Wanaomtishia watashindwa kwa jina la Mungu iwapo alichokisema kina ukweli ndani yake
 
Unaweza kutoa mahari ya ng"ombe 100 we bahili?😀

Kama kuna thaman unayo mamsap, mi Nalipa ! Ila Kama watoto wa wetu wana Baba tofauti, inabidi tupunguze mpaka 2
 
Umenena vyema mkuu,
Aione Tlaatlaah na aifikishe mezani kwa anayemtuma, na bila kusahau machawa wote
 
Huyu wanae Tu LAZIMA watamla kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…