Heee..kwa hiyo unataka maeneo zaidi yachukuliwe.....??Kwa hiyo mafanikio ya Urusi ni kuchukua maeneo zaidi..asipochukua zaidi kashindwa....What about Ukraine sasa kurudisha maeneo yake aliyonyang'anywa..??mwaka wa pili ss , hatuon maeneo zaid yanayochukuliwa na Urusi na bado hutaki amin vita imemlalia Putin mpk wanaanza uana wao kwa wao