I Intuition JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 1,442 Reaction score 4,700 Sep 4, 2023 #21 4by94 said: mwaka wa pili ss , hatuon maeneo zaid yanayochukuliwa na Urusi na bado hutaki amin vita imemlalia Putin mpk wanaanza uana wao kwa wao Click to expand... Heee..kwa hiyo unataka maeneo zaidi yachukuliwe.....??Kwa hiyo mafanikio ya Urusi ni kuchukua maeneo zaidi..asipochukua zaidi kashindwa....What about Ukraine sasa kurudisha maeneo yake aliyonyang'anywa..??
4by94 said: mwaka wa pili ss , hatuon maeneo zaid yanayochukuliwa na Urusi na bado hutaki amin vita imemlalia Putin mpk wanaanza uana wao kwa wao Click to expand... Heee..kwa hiyo unataka maeneo zaidi yachukuliwe.....??Kwa hiyo mafanikio ya Urusi ni kuchukua maeneo zaidi..asipochukua zaidi kashindwa....What about Ukraine sasa kurudisha maeneo yake aliyonyang'anywa..??
I Intuition JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 1,442 Reaction score 4,700 Sep 4, 2023 #22 HIMARS said: Kweli imefeli na Urusi yuko Kyiv anatawala Click to expand... Basi imefaulu..Ukraine karudisha miji yake ya mashariki...kachukua Crimea tena...kafika Moscow na anaelekea Vladivostok
HIMARS said: Kweli imefeli na Urusi yuko Kyiv anatawala Click to expand... Basi imefaulu..Ukraine karudisha miji yake ya mashariki...kachukua Crimea tena...kafika Moscow na anaelekea Vladivostok
passioner255 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 6,192 Reaction score 11,897 Sep 4, 2023 #23 4by94 said: ttzo lako ukionaga hbr za ukraie husomu ndio maana unauliza maswal ambayo majibu yapo kweny platform hii hii Click to expand... Hamna mafanikio ya maana
4by94 said: ttzo lako ukionaga hbr za ukraie husomu ndio maana unauliza maswal ambayo majibu yapo kweny platform hii hii Click to expand... Hamna mafanikio ya maana
passioner255 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 6,192 Reaction score 11,897 Sep 4, 2023 #24 4by94 said: hahahaaa kapime akili , unabishana na kauli za wanajeshi wa urusi waliopo front Click to expand... Weka hapa evidence ya mafanikio yoyote hapa.
4by94 said: hahahaaa kapime akili , unabishana na kauli za wanajeshi wa urusi waliopo front Click to expand... Weka hapa evidence ya mafanikio yoyote hapa.