Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
wendo kiongozi wa wajingaIla domo some tym ni ****** huwezi kung'ang'ana na lidemu lina watoto w3 afu tena limekuzidi miaka kibao yaani huwo ni ujinga wa kiwango cha reli
Kwan ni ugonjwa gan mkuuSio haraka hivyo mkuu,ule ugonjwa hatari,inachukua muda
Acha uongo wewe dola 500000 hiyo ni bilion mojaaZari alimuacha Ivan na kumfuata Diamond kisa hela?!!!!!
Hivi unamjua Ivan wewe???!!! Huyo Diamond anaweza kuwa Bodyguard wake ... Mwaka Jana Diamond Aliwekewa Mezani Dolla 500,000 akafanye show kwenye sherehe ya mtoto wa Ivan ambae yupo uingereza kwenye shule ya soka ya Manchester utd. .. Mtanzania mwenzetu aligoma akasingizia ana show marekani, kama unakumbuka vizuri...
Uliza watanzania wanaoishi South Africa ndio watakwambia Huyo MTU Ivan ni nani ....
Kumbuka huyu ni baba wa watoto wake..watoto 3....na baba anatoa support kwa wanae asilimia 100..Pole kwa Ivan, Ila kiukweli mimi Mungu hakunipa moyo wa kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, off course ni haki yake kumjulia hali mtu aliyezaa nae watoto ila huo moyo wa kumuona akienda hospital kumuona mme wake wa zamani Mungu alininyima, siwezi kabisa kuvumilia, mlioachwa na waume zenu na bado wako hai mtanisamehe kwa kweli.
We acha tuuuu...pesa sio kila kituHakuna Neema kubwa kama afya!!! Nikifikilia ile mikogo kule instagram. ........Allah ampe nafuu inshaallah.
Kama hana mtoto ila alishatoa mimba 4 je?Mimi acha niseme tu na huo ndio msimamo wangu hadi naangia kaburini. Siji kuoa mwanamke mwenye mtoto.
Hata awe na uwezo wa kumfanya kitu, kinachouma hapo ni kuona moyo wa mtu unayempenda ukionesha mapenzi kwa aliyekwisha achana nae, hata kama hawafanyi kitu ila ile sura ya huzuni ya mke wako kwa mme wake wa zamani haivumiliki kuiangalia, nina moyo wa nyama sio wa chuma.
Hata awe ametoa mimba 10, naoa tu. Kwenye dunia ya sasa kati ya wanawake 500,000 mmoja hajatoa mimba katika maisha yake. Sio kila mimba mwanamke anayotoa ni kumlaumu tu nyingine zzinakua na sababu za msingi kama kiafya, kimaendeleo n.kKama hana mtoto ila alishatoa mimba 4 je?
Uko sahihi kabisa, lakini ili kuepuka hayo yote ni bora kuoa ambaye hana mtotoKumbuka huyu ni baba wa watoto wake..watoto 3....na baba anatoa support kwa wanae asilimia 100..
Hapo zari anaplay part kwaajili ya comfort ya watoto wake..anajua wanae wanaumia...watateseka akifa...baba ht km hana kitu still ni baba uwepo wake tu unatosha...
lazma uwe na moyo wa ubinadamu...watoto ndio huumia zaidi pindi wazazi wakitengena..lkn mbaya zaidi akiumwa halafu usiende??[emoji15] [emoji15]watakuelewaje..nao hawatakuthamin wakikua cz hukumjali baba yao pindi akiwa mahututi...
Kipindi km hicho yuko hajielewi chuki lzm ziwekwe pembeni..hakuna anayejua kesho yake..
Unamjulia hali kwani itacost nn..do it for ur kids
Yaah ni kweli kuna habari kwamba ameshakufa ila Zari ndio hataki habari zisambae mitandaoni..Bado mzima
Simuombei.ila coma.ni habari nyingine.Dah! Kuna habari zimeanza huko mitandaon kuwa jamaa keshatwaliwa sijui kweli nimeumia watoto wake Tu jamani life will never be the same without their father
Yaah ni kweli kuna habari kwamba ameshakufa ila Zari ndio hataki habari zisambae mitandaoni..
Nilikuwa nacheki Uganda Online News.. Wanasema Ivan alifanyiwa operation kubwa ya kuondoa damu kwenye ubongo lakini hali yake haijaimarika kabisa.