Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

we
Ila domo some tym ni ****** huwezi kung'ang'ana na lidemu lina watoto w3 afu tena limekuzidi miaka kibao yaani huwo ni ujinga wa kiwango cha reli
wendo kiongozi wa wajinga
kwani watoto watatu nini aisee kwani wemeer asiye na mtoto alikuwa anamsaidia nini zaidi ya kukimbizana kwenye magazeti ya shigongo ?
unaona tofauti ya mama wa watoto 5 pamoja na huyu dai ni mtoto wa 6 na huyu asiye na mtoto/ unaona dai alipo sasa hivi ? utumie akili sometime
 
2335ae08b6620bbb09563fb72a179643.jpg
 
Zari alimuacha Ivan na kumfuata Diamond kisa hela?!!!!!

Hivi unamjua Ivan wewe???!!! Huyo Diamond anaweza kuwa Bodyguard wake ... Mwaka Jana Diamond Aliwekewa Mezani Dolla 500,000 akafanye show kwenye sherehe ya mtoto wa Ivan ambae yupo uingereza kwenye shule ya soka ya Manchester utd. .. Mtanzania mwenzetu aligoma akasingizia ana show marekani, kama unakumbuka vizuri...

Uliza watanzania wanaoishi South Africa ndio watakwambia Huyo MTU Ivan ni nani ....
Acha uongo wewe dola 500000 hiyo ni bilion mojaa
 
So sad...hapa ndipo unajifunza pesa sio kila kitu....
Uhai haununuliki ...bali Mungu pekee ndio anayetupa
 
Pole kwa Ivan, Ila kiukweli mimi Mungu hakunipa moyo wa kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, off course ni haki yake kumjulia hali mtu aliyezaa nae watoto ila huo moyo wa kumuona akienda hospital kumuona mme wake wa zamani Mungu alininyima, siwezi kabisa kuvumilia, mlioachwa na waume zenu na bado wako hai mtanisamehe kwa kweli.
Kumbuka huyu ni baba wa watoto wake..watoto 3....na baba anatoa support kwa wanae asilimia 100..
Hapo zari anaplay part kwaajili ya comfort ya watoto wake..anajua wanae wanaumia...watateseka akifa...baba ht km hana kitu still ni baba uwepo wake tu unatosha...
lazma uwe na moyo wa ubinadamu...watoto ndio huumia zaidi pindi wazazi wakitengena..lkn mbaya zaidi akiumwa halafu usiende??[emoji15] [emoji15]watakuelewaje..nao hawatakuthamin wakikua cz hukumjali baba yao pindi akiwa mahututi...
Kipindi km hicho yuko hajielewi chuki lzm ziwekwe pembeni..hakuna anayejua kesho yake..
Unamjulia hali kwani itacost nn..do it for ur kids
 
Mimi acha niseme tu na huo ndio msimamo wangu hadi naangia kaburini. Siji kuoa mwanamke mwenye mtoto.
Kama hana mtoto ila alishatoa mimba 4 je?
Hata awe na uwezo wa kumfanya kitu, kinachouma hapo ni kuona moyo wa mtu unayempenda ukionesha mapenzi kwa aliyekwisha achana nae, hata kama hawafanyi kitu ila ile sura ya huzuni ya mke wako kwa mme wake wa zamani haivumiliki kuiangalia, nina moyo wa nyama sio wa chuma.
 
Kama hana mtoto ila alishatoa mimba 4 je?
Hata awe ametoa mimba 10, naoa tu. Kwenye dunia ya sasa kati ya wanawake 500,000 mmoja hajatoa mimba katika maisha yake. Sio kila mimba mwanamke anayotoa ni kumlaumu tu nyingine zzinakua na sababu za msingi kama kiafya, kimaendeleo n.k
 
Kumbuka huyu ni baba wa watoto wake..watoto 3....na baba anatoa support kwa wanae asilimia 100..
Hapo zari anaplay part kwaajili ya comfort ya watoto wake..anajua wanae wanaumia...watateseka akifa...baba ht km hana kitu still ni baba uwepo wake tu unatosha...
lazma uwe na moyo wa ubinadamu...watoto ndio huumia zaidi pindi wazazi wakitengena..lkn mbaya zaidi akiumwa halafu usiende??[emoji15] [emoji15]watakuelewaje..nao hawatakuthamin wakikua cz hukumjali baba yao pindi akiwa mahututi...
Kipindi km hicho yuko hajielewi chuki lzm ziwekwe pembeni..hakuna anayejua kesho yake..
Unamjulia hali kwani itacost nn..do it for ur kids
Uko sahihi kabisa, lakini ili kuepuka hayo yote ni bora kuoa ambaye hana mtoto
 
Huyu jamaa yetu nae kaenda kuingiza kichwa ndani ya mdomo wa MAMBA,yaan kumuoa huyo muflisti kapoteza DIRA huyo ni amekuja kuchuma mali kisha apite kule.

HIVI KWA AKILI YA HARAKA HARAKA KWELI ZARI ANAMCHORA TU DIAMOND KWA KUPITIA HAKO KA MALI ACHONACHO,AKISHACHUMA TU,ANAPITA KULE KWA SPEED YA 250 P/HR. NDUGU YETU UNAFIKISIWA NA HUYO "KUBE KINABADILIKA KUWA ARONG'A"
 
....alafu, kweli duniani wawili wawili, kafanana sana na picha ya mtoto mmoja 'maarufu'!
 
Dah! Kuna habari zimeanza huko mitandaon kuwa jamaa keshatwaliwa sijui kweli nimeumia watoto wake Tu jamani life will never be the same without their father
 
Bado mzima
Yaah ni kweli kuna habari kwamba ameshakufa ila Zari ndio hataki habari zisambae mitandaoni..
Nilikuwa nacheki Uganda Online News.. Wanasema Ivan alifanyiwa operation kubwa ya kuondoa damu kwenye ubongo lakini hali yake haijaimarika kabisa.
 
Dah! Kuna habari zimeanza huko mitandaon kuwa jamaa keshatwaliwa sijui kweli nimeumia watoto wake Tu jamani life will never be the same without their father
Simuombei.ila coma.ni habari nyingine.
 
Mmmh sidhani kama zari ana mamlaka ya kukataza news hio kusambaa,kumbuka zari na ivan walishaachana hivyo wenye mamlaka na ivan kwa sasa ni familia yake

Pia richgang members hawawezi zuiwa na zari kusambaza habari hio

Back
Top Bottom