Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

Kama Ji stroke ambayo imesababishwa na HTN..hyo ni mbaya means hapo kuna mawili Either mishipa ya Damu ya kwenye Ubongo imepasuka au kuna mshipa wa damu umeziba...so hapo lazima Hali yake iwe hvyo na stroke ni mbaya sanaaaaa kwasababu unakuwa weak generized weakness au upande mmoja unakuwa hujitambui kwa lolote yaani unajisaidia hapo hapo na kila kitu kutemea na mtu ila ni mbaya

Stroke miaka hii haina mzee wa kijana vijana wengi tuu wadogo wanapata stroke kutegemea na ukubwa ilivyo piga tiba yake ni dawa au operation ya kichwa kufanya suction ya hiyo damu

Kifupi Mungu amsaidie Sana IVAN wakuomba tuzidishe maombi.....Stroke ni Mbaya jamani
 

Acha uongo mzee, hakuna mtoto wa zari anaesoma manchester united academy.
 
Hiki chanzo nacho balaa. Eti hypotension ni high blood pressure.????!!!! Hypertension ndo high blood pressure
Kuna aina mbili za 'silent killer'(blood pressure)
ambayo ni
hypertension na hypotension

Hypertension ni high blood pressure na
hypotension ni low blood pressure
 
Heart attack mbona siku hizi kama inapata watu sana duuh! Mungu amponye
Tatizo ni lifestyles zetu... Mtu anabugia lichupa lizima la jacky daniels (wakati inafaa umeze tort kadhaa)
...almost daily anakula machakula ya hovyo na mambo km hayo ndo mwanzo wa matatizo hatujali kanuni zozote za afya...


Rest in peace Ivan Ssemwanga tutaonana badae
 
If she is not after money she is after famousness
 
Acha uongo mzee, hakuna mtoto wa zari anaesoma manchester united academy.
Hivi wewe kichaa unaelewa nilichoandika , wapi nimemtaja mtoto wa zari yupo chuo cha Manchester utd...


Hivi nyie Mabashite Mnajua Kusoma kweli
 
Ila domo some tym ni ****** huwezi kung'ang'ana na lidemu lina watoto w3 afu tena limekuzidi miaka kibao yaani huwo ni ujinga wa kiwango cha reli
Hujui utamu wa Zari bora ukae kimya, aliyemwacha kapata pressure yuko hoi (Mungu amponye) afu unataka na Diamond wetu amuache aanze kupata pressure.
 
Ila ni inaruhisiwa kuoa mwanamke ambaye aliashatoa mimba nyingi na hujui ma-ex wake na akitaka kulambwa nao analambwa sindio...?
Kwa upande wangu girlfriend/mke akinisaliti huwa siumii kwa yeye kunisaliti, kinachoniuma ni ule uzembe wake wakufanya nijue ananisaliti na nitamchukia kwa hilo la kufanya nijue kuliko hata alivyonisaliti. Huwa naamini kila mtu anacheat ila haitakiwi mwenza wako ajue, hiyo ndio heshima.
 
ishu ni kuwa jamaa ana umwa na ni mzaz mwenzie inabid akamcheki, huyo Ivan wale watoto wengine ndio anawatunza yeye, so lazima hata domo apige kimya kama yeye mjanja awatunze wote watano tuone
Hapa ndo alifanya technical error kuoa mke mwenye watoto kibao na mwanaume mwingine! Atakuwa anaifeel tu kwa vyovyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…