ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Kama Ji stroke ambayo imesababishwa na HTN..hyo ni mbaya means hapo kuna mawili Either mishipa ya Damu ya kwenye Ubongo imepasuka au kuna mshipa wa damu umeziba...so hapo lazima Hali yake iwe hvyo na stroke ni mbaya sanaaaaa kwasababu unakuwa weak generized weakness au upande mmoja unakuwa hujitambui kwa lolote yaani unajisaidia hapo hapo na kila kitu kutemea na mtu ila ni mbaya
Stroke miaka hii haina mzee wa kijana vijana wengi tuu wadogo wanapata stroke kutegemea na ukubwa ilivyo piga tiba yake ni dawa au operation ya kichwa kufanya suction ya hiyo damu
Kifupi Mungu amsaidie Sana IVAN wakuomba tuzidishe maombi.....Stroke ni Mbaya jamani