Aliyekua mume wa Zari, Ivan hoi mahututi hospitali

Saa nyingine nawaelewa wenye principal ya usioe mwanamke mwenye mtoto
 
Mazeee kwani Dai kaoa pale? Muda wowote anaweza kunyea kambi tuu na property alizonazo South kuziweka chini ya Trust kwa ajili ya watoto wake hapo baadae.
 
Una akili sana mkuu...wanasingizia kupenda hata kwenye vitu vya hatari vinavyorisk maisha.

Tena vya kuiga tu.

Sifa za kijinga mbaya sana.

Wabillah Tawfiq.
 
Ila domo some tym ni ****** huwezi kung'ang'ana na lidemu lina watoto w3 afu tena limekuzidi miaka kibao yaani huwo ni ujinga wa kiwango cha reli
Uislam hauna shida na hilo

Hasa la kuoa mke aliyekuzidi umri sana au uliyemzidi umri sana.

Refer kwa Mtume Muhammad (S.A.W) alivyomuoa Bi Khadija (40) na Bi aisha (9)

Cc: laki si pesa anaweza kulieleza zaidi hili.


Wabillah Tawfiq
 
siku zote,mke halali wa mtu hubaki kuwa mke wa mtu tu haijalishi una pesa kiasi gani unazo muhonga au kumpatia ktk matumizi yake.

vijana ambao hamjaoa msije mkafanya kosa la kuzaa/kuoa mwanamke ambaye ametengana na mume wake wa ndoa aliyesota naye kimaisha tangu wakiwa mafukara.

mbaya zaidi mume huyo bado yupo hai,kuna siku linaweza kutokea tatizo la kiubinadamu ambalo linaweza kuwakutanisha pamoja na kupelekea kuchipusha upya penzi leo,halafu wewe ukabaki kupigwa na butwaa usijue la kufanya.

amini nawaambieni,mtajuta na kusaga meno.

kuna wakati huwa namuwazia sana yule kijana aliyekurupuka kumuoa flora mbasha.
 
Jamaa ni Cctv ya madale[emoji23]
 
Ila domo some tym ni ****** huwezi kung'ang'ana na lidemu lina watoto w3 afu tena limekuzidi miaka kibao yaani huwo ni ujinga wa kiwango cha reli
Haaaa haaa...we jamaa bana
 
Kwakweli Mungu amrehemu huyu baba, apone tu ili aendelee kulea watoto wake.Zarina mwenyewe hatoweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…