Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilitaka kukunyemelea kivipiHeart Attack ni spirit,kama si maombi aisee hii kitu ilikuwa inataka kuninyemelea, namshukuru Mungu niko Gado.
Una akili sana mkuu...wanasingizia kupenda hata kwenye vitu vya hatari vinavyorisk maisha.Kwangu hapana aisee hata Beyonce siwezi kumpenda kimapenzi hata aje kulia na kugaragara pale kwetu ubaruku kwenye mashamba ya mpunga, Huo moyo sina kwa kweli, na huo ujinga pia Mungu alininyima, kuna mijitu inafikia hatua ya kulambana sehemu ya haja kubwa na kusingizia eti mapenzi, kupenda kwa moyo ndio kukufanye mlambane ile sehemu kweli!!!!!!!!!!!!!!!!????????????????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti pagumu kutafuta kiki.Dai hata akienda ataenda kimya kimya bila picha. Pale pagumu kutafutia kiki
we kafiri hiyo wabillah tawfiq unajua maana yake?Una akili sana mkuu...wanasingizia kupenda hata kwenye vitu vya hatari vinavyorisk maisha.
Tena vya kuiga tu.
Sifa za kijinga mbaya sana.
Wabillah Tawfiq.
Kekereenkede...ewe kifuasi cha bwn mudy wa mecca, wajua ramaadhan imekaribia? [emoji23]we kafiri hiyo wabillah tawfiq unajua maana yake?
Wewe ni shogake na Zari? Umeyajuaje hayo?kuoa mwanamke mwenye watoto watatu ni mtihani sana....hapo Zari lazima achanganyikiwe maana anamtegemea Ivan kwa ajili ya matunzo ya watoto
Uislam hauna shida na hiloIla domo some tym ni ****** huwezi kung'ang'ana na lidemu lina watoto w3 afu tena limekuzidi miaka kibao yaani huwo ni ujinga wa kiwango cha reli
Jamaa ni Cctv ya madale[emoji23]Zari alimuacha Ivan na kumfuata Diamond kisa hela?!!!!!
Hivi unamjua Ivan wewe???!!! Huyo Diamond anaweza kuwa Bodyguard wake ... Mwaka Jana Diamond Aliwekewa Mezani Dolla 500,000 akafanye show kwenye sherehe ya mtoto wa Ivan ambae yupo uingereza kwenye shule ya soka ya Manchester utd. .. Mtanzania mwenzetu aligoma akasingizia ana show marekani, kama unakumbuka vizuri...
Uliza watanzania wanaoishi South Africa ndio watakwambia Huyo MTU Ivan ni nani ....
Haaaa haaa...we jamaa banaIla domo some tym ni ****** huwezi kung'ang'ana na lidemu lina watoto w3 afu tena limekuzidi miaka kibao yaani huwo ni ujinga wa kiwango cha reli
Very very fascinatingMmh mliopoteza marinda tangu utoton mnawashwa kweli
cadiography.....mazoezi mamii....usinenepeane mnoHeart attack mbona siku hizi kama inapata watu sana duuh! Mungu amponye