Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

Nimetoa maelezo mengi tuu.
Ndo maana nimekuuriza bwawa linatumia maji kutoka wapi??
Na mpaka wa tz na rwanda ni nini??
 
Mradi ni WA nchi 3 Tanzania , Rwanda na Burundi , power house IPO Tanzania , switch yard IPO Rwanda kweny mlima , alafu umeme ndo unagawanywa Hapo kwenda tz , Burundi na Rwanda , mradi wa nchi tatu haiwezekani Kila kitu kiwe kwako , tz akizima mitambo kweny power house hawez kuupata umeme Kwa sababu switch IPO Rwanda na pia Rwanda akigombana na tz hawez kuupata umeme maana unazalishiwa tz , Burundi ndo Hana chake Kwa sababu yupo mbali na mradi ulipojengwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huo ni mredi wa nchi tatu Rwanda , Burundi na Tanzania maana uwez kuzalisha umeme nchi Moja wakati mto unamilikiwa na nchi tatu hvyo hayo ndo makubaliano na umeme hauna mahusiano yoyote na mambo ya bandari zenu ata mkipigana vita hakuna mweny uhalali wa kuzima huo umeme
 

Hio ramani ya Rwanda mto ni wa blue.
Hio rangi ya chungwa ni mpaka.
Ila kwa Tanzania and rwanda rangi ya chungwa aionekani coz sehemu kubwa coz imemezwa na mto.
Amabao ni mpaka.
 

Hio nyingine imeonyesha mto tena kuna vipande kidogo vimeingia rwanda na baadhi tz, kutokana na baadhi ya vyanzo Vinatoka huku na kule rwanda.
 

Maneno ku-mtu
 
Mpaka wa rwanda na tz ni nini??????
Au tuseme tz na rwanda imetenganiswa na nn?
Haha, sasa wewe kaza kichwa kwamba mto lilipojengwa bwawa upo mpakani, wakati ukweli upo wazi kwambo mto na hali kadhalika bwawa vipo Tz.
 
Ni kwanini Tz asingejenga mwenyewe hata kwa kukopa kisha akauza hizo megawatt 27 ili alipe mkopo? Kulikuwa na haja gani ya kuwapa umeme wetu bure?
 
Haha, sasa wewe kaza kichwa kwamba mto lilipojengwa bwawa upo mpakani, wakati ukweli upo wazi kwambo mto na hali kadhalika bwawa vipo Tz.
Huna hoja ,
Na ujaleta ushahindi kwamba mto upo tz na sio kwamba ndio unatenganisha nchi mbili.
Anngaria ngara ilipo afu angalia ngara na rwanda ni nini mpaka wake.
Huna hoja nimekuletea vielelezo Vingi tuu.
Ila umeshidwa kukanusha vote. Ushahidi vielelezo vyote.
 
Misri wanatupa megawatt ngapi za umeme sisi Afrika mashariki unaozalishwa Bwawa la Aswan?
 
Kwenye ramani zako mwenyewe umesema kuna vipande vya mto vipo ndani ya Tz na vingine Rw, maana mto ni kama nyoka nyoka, sasa bwawa limejengwa kwenye kipande cha mto kilichopo Tz, kila mtu ajenge kwake sasa..😁
 
sahihi kabisa Rwanda wapo makini sio wazembe kama watanzania,awana hujuma na upigaji kama sisi watanzania.
huo ndio ukweli
 
Kwenye ramani zako mwenyewe umesema kuna vipande vya mto vipo ndani ya Tz na vingine Rw, maana mto ni kama nyoka nyoka, sasa bwawa limejengwa kwenye kipande cha mto kilichopo Tz, kila mtu ajenge kwake sasa..😁
Angaria ngara na rwanda kama kuna kipande kimeingia rwanda na tz .
Angaria kwenye ramani
Mkuu hivi sheria za kimataifa za mipakani na rasilimali unajua kweli???
Tanzania hapo.
Ndo maana ukiangali hapo bwawa na Burundi ni mbali ila Burundi wamo.
Kwanini?
Tuanzie hapo kwanza??
 
Angalia mahojiano ya msimamizi wa mradi kwenye video niliyoweka, ameeleza bwawa limejengwa Tz.., sasa kabishane na msimamizi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…