FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #281
Haya tuambie, bwawa lipo mpakani (mto Kagera) au lipo Tanzania?Umeshidwa hata kutetea hoja zako kwa ushahidi hai.
Mimk nimekuelezea vitu Virginia tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya tuambie, bwawa lipo mpakani (mto Kagera) au lipo Tanzania?Umeshidwa hata kutetea hoja zako kwa ushahidi hai.
Mimk nimekuelezea vitu Virginia tuu
nakusaidia kujibu mto huo unatoka rwanda unapitia burudi kisha ngara mto rusumo uko mpakani mwa tzn na rwanda lakini uko tz na hilo bwawa liko rusumo ngara kageraNataka jibu lako wewe kama wewe
Mto upo tz au rwanda????
Mpaka wa rwanda na tz ni nini??????lakini uko tz
Nimepata taarifa zisizo rasmi kwamba eti lile bwawa la umeme la Rusumo linalojengwa huko Ngara Tanzania, eti switch zake za kuwashia na kusambazi umeme zinafungwa Rwanda.
Maana yake ni kwamba Tanzania itakuwa ikizalisha umeme, halafu huo umeme utasafiri hadi Rwanda, halafu Rwanda ndio itakua inawasha hizo Switch ili kuruhusu umeme uje Tanzania.
Je, kuna mantiki yeyote juu ya maamuzi kama haya? , kwahiyo siku tukipandisha ushuru bandarini kwa mizigo inayoenda Rwanda na wao wanatuzimia switch za umeme hadi tushike adabu, na umeme tunauzalisha wenyewe? Sasa nashangaa, Tanzania tulikosa pesa ya kununulia switch hadi kwenda kuomba mchango wa Rwanda na tugawane nao umeme nusu kwa nusu eti?
Mi nadhani kuwe na haja ya kupimana magonjwa ya akili kabla ya kupeana hizi wizara nyeti hasa za Nishati na madini.., video ina maelezo ya ziada
For what I know, huo mradi sio wetu kwa 100% bali Mabeberu ndio wana-finance huo mradi kwa ajili ya Rwanda, Burundi na Tanzania!!
So, mwenye pesa zake ndo kaamua hivyo, HUTAKI, jenga mwenyewe kwa pesa zako... nyie si dona kantri bhana!!! Ukifanya hayo, ndo utaamua kuweka swichi popote pale hata kama kwenye ofisi za Lumumba!!
Haha, sasa wewe kaza kichwa kwamba mto lilipojengwa bwawa upo mpakani, wakati ukweli upo wazi kwambo mto na hali kadhalika bwawa vipo Tz.Mpaka wa rwanda na tz ni nini??????
Au tuseme tz na rwanda imetenganiswa na nn?
Ni kwanini Tz asingejenga mwenyewe hata kwa kukopa kisha akauza hizo megawatt 27 ili alipe mkopo? Kulikuwa na haja gani ya kuwapa umeme wetu bure?Mradi ni WA nchi 3 Tanzania , Rwanda na Burundi , power house IPO Tanzania , switch yard IPO Rwanda kweny mlima , alafu umeme ndo unagawanywa Hapo kwenda tz , Burundi na Rwanda , mradi wa nchi tatu haiwezekani Kila kitu kiwe kwako , tz akizima mitambo kweny power house hawez kuupata umeme Kwa sababu switch IPO Rwanda na pia Rwanda akigombana na tz hawez kuupata umeme maana unazalishiwa tz , Burundi ndo Hana chake Kwa sababu yupo mbali na mradi ulipojengwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huna hoja ,Haha, sasa wewe kaza kichwa kwamba mto lilipojengwa bwawa upo mpakani, wakati ukweli upo wazi kwambo mto na hali kadhalika bwawa vipo Tz.
Misri wanatupa megawatt ngapi za umeme sisi Afrika mashariki unaozalishwa Bwawa la Aswan?Huo ni mredi wa nchi tatu Rwanda , Burundi na Tanzania maana uwez kuzalisha umeme nchi Moja wakati mto unamilikiwa na nchi tatu hvyo hayo ndo makubaliano na umeme hauna mahusiano yoyote na mambo ya bandari zenu ata mkipigana vita hakuna mweny uhalali wa kuzima huo umeme
Kwenye ramani zako mwenyewe umesema kuna vipande vya mto vipo ndani ya Tz na vingine Rw, maana mto ni kama nyoka nyoka, sasa bwawa limejengwa kwenye kipande cha mto kilichopo Tz, kila mtu ajenge kwake sasa..😁Huna hoja ,
Na ujaleta ushahindi kwamba mto upo tz na sio kwamba ndio unatenganisha nchi mbili.
Anngaria ngara ilipo afu angalia ngara na rwanda ni nini mpaka wake.
Huna hoja nimekuletea vielelezo Vingi tuu.
Ila umeshidwa kukanusha vote. Ushahidi vielelezo vyote.
Angaria ngara na rwanda kama kuna kipande kimeingia rwanda na tz .Kwenye ramani zako mwenyewe umesema kuna vipande vya mto vipo ndani ya Tz na vingine Rw, maana mto ni kama nyoka nyoka, sasa bwawa limejengwa kwenye kipande cha mto kilichopo Tz, kila mtu ajenge kwake sasa..😁
Angalia mahojiano ya msimamizi wa mradi kwenye video niliyoweka, ameeleza bwawa limejengwa Tz.., sasa kabishane na msimamizi..Angaria ngara na rwanda kama kuna kipande kimeingia rwanda na tz .
Angaria kwenye ramani
Mkuu hivi sheria za kimataifa za mipakani na rasilimali unajua kweli???
Tanzania hapo.
Ndo maana ukiangali hapo bwawa na Burundi ni mbali ila Burundi wamo.
Kwanini?
Tuanzie hapo kwanza??