Haya kalale na ujifunike gubigubi..😂Na kweli mkuu
@bujibuji au gubigubi?Haya kalale na ujifunike gubigubi..[emoji23]
Umechanganya power mabula alikuwa na uwezo wa gari kupita juu yake, kuvuta pikipiki na mambo mengine ya nguvu ila kulikuwa na wanamazingaombwe majina yamenitoka walikuwa wanafanya mambo kama hayoWale wahenga wenzangu nani anamkumbuka pawa mabula? Nimekumbuka alivyokua anageuza makaratasi kuwa pesa
Atakuwa ameona siri za udongoni ila kwa adhabu yake akapewa ububu🤣🤣@Me too hii habari yenyewe kivuruge