Ha ha hivi Jf kuna watu maarufu ? Any way jitahidi usiwe bias.. Na kama una msimamo wako shikilia huo huo ... Don't attack people,attack hoja tu .. May be might help u ha ha ha ..
tuendelee kulazimisha, mi ni new member na kiukweli sipendi kuitwa kapukuKutangulia sio kufika
Kuwahi sio kuwa na akili
Ww sio kapukuz una multiple ID....hujawahi kuambiwa DUNDERHEAD
Sisi tunasonga mbele
Endeleeni na kelele za vyura
Km mambegele
Unasaka kick kupitia makapukutuendelee kulazimisha, mi ni new member na kiukweli sipendi kuitwa kapuku
Ushaur huu mzuri sana kwa yeyote.. Miss chaga amegundua kuna tatizo humu ndani kuna watu hawana misimamo wapo kama wanaigiza maishaHa ha hivi Jf kuna watu maarufu ? Any way jitahidi usiwe bias.. Na kama una msimamo wako shikilia huo huo ... Don't attack people,attack hoja tu .. May be might help u ha ha ha ..
Karibu sana mkuuUshaur huu mzuri sana kwa yeyote.. Miss chaga amegundua kuna tatizo humu ndani kuna watu hawana misimamo wapo kama wanaigiza maisha
Unaeza kutafsiriwa mtu leo kapost hivi kesho kapost lingine, bado ni mpenda sifa. Kuchangia kile unachoona ni sahihi na sio ku li modify jibu ili tu liwe upande fulan
Asante miss chagga
waulize makapukuKwani umaarufu wa JF ndio ukoje huo?
Makapuku njooni mnijibuwaulize makapuku
Umaarufu upi?Ha ha ha ha.
Ngoja niseme kitu hapa, nimepitia pitia hapa na nimegundua machache haswaa kuhusu sisi ma underground!
Nimeona hata tupige makelel kiasi gani hatuwezi kuwa maarufu kama walivyo wao.
Mkuu Bitoz na team yako, ujue kelele sana ni fujo.
haya mnatufanyia promotion sisi wageni lengo ni kutukuza tusidharauliwe! ni kwa nini nguvu itumike? hahahaha hawa wakongwe walitumia mbinu gani kwani?
Naona hapo kama vile mnajichosha tu!
tuendeleze makelele kama tunaweza kuwa maarufu kama kina Asprin, Arushaone, Nyani Ngabu, miss chagga na wengine maarufu.
Naona leo umekuja kujipiga kick.waulize makapuku
Chamecha mleu...hapan shaka hufahamu kwamba wewe ni maarufu.Ha ha hivi Jf kuna watu maarufu ? Any way jitahidi usiwe bias.. Na kama una msimamo wako shikilia huo huo ... Don't attack people,attack hoja tu .. May be might help u ha ha ha ..
Melo wa makapuku[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kutangulia sio kufika
Kuwahi sio kuwa na akili
Ww sio kapukuz una multiple ID....hujawahi kuambiwa DUNDERHEAD
Sisi tunasonga mbele
Endeleeni na kelele za vyura
Km mambegele
Hata wewe ni maarufu sana aseehHa ha hivi Jf kuna watu maarufu ? Any way jitahidi usiwe bias.. Na kama una msimamo wako shikilia huo huo ... Don't attack people,attack hoja tu .. May be might help u ha ha ha ..