Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni

Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni

Mtoa uzi hoja zako hazina mashiko

Eti aliye kutangulia kakutangulia tuu acha mawazo mgando kama mafuta ya SAMONA
kwani Nokia ya tochi kipindi kile iliyokuwa inabamba kama ngoma za feruzi unaweza fananisha na Samsung galaxy note 4

Be like a man..TUNACHOKITAFUTA TUTAKIPATA ; TUNACHOKIKIMBIA KITATUKIMBIA

IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI
631a18b4f28c0325e0a395fcac7513db.jpg

6d44455353f34e4d1a2fe8199fc28827.jpg

Wataelewa tu
 
Mtoa uzi hoja zako hazina mashiko

Eti aliye kutangulia kakutangulia tuu acha mawazo mgando kama mafuta ya SAMONA
kwani Nokia ya tochi kipindi kile iliyokuwa inabamba kama ngoma za feruzi unaweza fananisha na Samsung galaxy note 4

Be like a man..TUNACHOKITAFUTA TUTAKIPATA ; TUNACHOKIKIMBIA KITATUKIMBIA

IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI
[emoji3] [emoji3] [emoji3] baelezee baelewe.
Leo ndiyo nimeaza kuelewa tofauti kati ya kusoma na kuelimika.
 
Tatizo vijana waliojiunga hivi karibuni hawana adabu kwa wakubwa zao.....yale mambo na matukio yao wanayoyafanya huko wakiwa vichochoroni na watoto wenzao wanataka kuyaleta hapa....hawajui kuwa hapa ni kuna mjumuiko wa watu mbali mbali wakiwamo pia wazee wao.........

Haijalishi wewe ni mgeni au ni mwenyeji bali unachotakiwa ni kuwa na heshima na watu wa humu na kuepukana na lugha chafu.....hakika utajisikia kama upo nyumbani.....
 
Wanaitana makapuku! ushamba mwingine mzigo.
nimemwona na Jimena.
 
Ha ha ha ha.
Ngoja niseme kitu hapa, nimepitia pitia hapa na nimegundua machache haswaa kuhusu sisi ma underground!
Nimeona hata tupige makelel kiasi gani hatuwezi kuwa maarufu kama walivyo wao.

Mkuu Bitoz na team yako, ujue kelele sana ni fujo.
haya mnatufanyia promotion sisi wageni lengo ni kutukuza tusidharauliwe! ni kwa nini nguvu itumike? hahahaha hawa wakongwe walitumia mbinu gani kwani?
Naona hapo kama vile mnajichosha tu!
tuendeleze makelele kama tunaweza kuwa maarufu kama kina Asprin, Arushaone, Nyani Ngabu, miss chagga na wengine maarufu.
Leo ndo nimejua kuwa mimi ni maarufu.

Ngoja nikusanye nguvu nigombee ubunge.

Ahsante kwa taarifa kiongozi...
 
Back
Top Bottom