Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni

Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni

Tatizo vijana waliojiunga hivi karibuni hawana adabu kwa wakubwa zao.....yale mambo na matukio yao wanayoyafanya huko wakiwa vichochoroni na watoto wenzao wanataka kuyaleta hapa....hawajui kuwa hapa ni kuna mjumuiko wa watu mbali mbali wakiwamo pia wazee wao.........

Haijalishi wewe ni mgeni au ni mwenyeji bali unachotakiwa ni kuwa na heshima na watu wa humu na kuepukana na lugha chafu.....hakika utajisikia kama upo nyumbani.....
Ila asavali wameunda Kundi Lao upuuzi umepungua sana[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Back
Top Bottom