Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
BitozZMakapuku njooni mnijibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BitozZMakapuku njooni mnijibu
Mtoa uzi hoja zako hazina mashiko
Eti aliye kutangulia kakutangulia tuu acha mawazo mgando kama mafuta ya SAMONA
kwani Nokia ya tochi kipindi kile iliyokuwa inabamba kama ngoma za feruzi unaweza fananisha na Samsung galaxy note 4
Be like a man..TUNACHOKITAFUTA TUTAKIPATA ; TUNACHOKIKIMBIA KITATUKIMBIA
IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI
[emoji3] [emoji3] [emoji3] baelezee baelewe.Mtoa uzi hoja zako hazina mashiko
Eti aliye kutangulia kakutangulia tuu acha mawazo mgando kama mafuta ya SAMONA
kwani Nokia ya tochi kipindi kile iliyokuwa inabamba kama ngoma za feruzi unaweza fananisha na Samsung galaxy note 4
Be like a man..TUNACHOKITAFUTA TUTAKIPATA ; TUNACHOKIKIMBIA KITATUKIMBIA
IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI
Aisee me sikujua hiloHata wewe ni maarufu sana aseeh
Huyu bitoz w/end leo atakua amekamatiwa chiniBitozZ
Sikufahamu hilo .. Hivi kuna malipo aisee?Chamecha mleu...hapan shaka hufahamu kwamba wewe ni maarufu.
Kuna tofauti kati ya kusoma na KUKAA SANA DARASANI.Kweli tuacheni tu kujichosha walishatutangulia hao
Hongera kwa kukaa darasani sana...Kuna tofauti kati ya kusoma na KUKAA SANA DARASANI.
Wanaitana makapuku! ushamba mwingine mzigo.Tatizo vijana waliojiunga hivi karibuni hawana adabu kwa wakubwa zao.....yale mambo na matukio yao wanayoyafanya huko wakiwa vichochoroni na watoto wenzao wanataka kuyaleta hapa....hawajui kuwa hapa ni kuna mjumuiko wa watu mbali mbali wakiwamo pia wazee wao.........
Haijalishi wewe ni mgeni au ni mwenyeji bali unachotakiwa ni kuwa na heshima na watu wa humu na kuepukana na lugha chafu.....hakika utajisikia kama upo nyumbani.....
kuna haja gani ya kulet hoja kama huwezi kujibu maswali ya wachangiaji?waulize makapuku
Leo ndo nimejua kuwa mimi ni maarufu.Ha ha ha ha.
Ngoja niseme kitu hapa, nimepitia pitia hapa na nimegundua machache haswaa kuhusu sisi ma underground!
Nimeona hata tupige makelel kiasi gani hatuwezi kuwa maarufu kama walivyo wao.
Mkuu Bitoz na team yako, ujue kelele sana ni fujo.
haya mnatufanyia promotion sisi wageni lengo ni kutukuza tusidharauliwe! ni kwa nini nguvu itumike? hahahaha hawa wakongwe walitumia mbinu gani kwani?
Naona hapo kama vile mnajichosha tu!
tuendeleze makelele kama tunaweza kuwa maarufu kama kina Asprin, Arushaone, Nyani Ngabu, miss chagga na wengine maarufu.
Kama vile kuwa demu wa ODM....Kwani umaarufu wa JF ndio ukoje huo?
itabidi leo akatoe na shukrani ChurchKama vile kuwa demu wa ODM....
Nikabidhi mchuchu huo ili nawe uwe maarufu........ acha kubanabana!!!
sisi vikapuku tunataka kuwazidi kete nyie wakongweSijaelewa au kitu gani....!?