Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni

Kuna heading moja inaitwa makapuku sijui nini nini....., nimekua nikiiona ikikua na kuchangiwa sana na hawa wageni wa ID hapa jf. Ebu ngoja leo nikitoka shambani nitaifungua nione kama inafanana na hoja ya mleta uzi.
hahaahaaaa.....[emoji13]
Dah.. chief ile ni pereteperete tu kama hii tu[emoji4]
 
Ila asavali wameunda Kundi Lao upuuzi umepungua sana[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…