Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni

sisi ni zaidi ya hao uliyo wataja.. Na makapuku haikuanzishwa kwa Sababu ya kutafuta umaarufu.. Wengine tushakuwa zaidi ya hao kwa kutumia akili, mijadala ya Hoja kwa hoja pia na Thread ambazo hata hao wakongwe hawawezi kuziandika na usuperstar wao waliyonao
 
mkuu ungetafuta mabandiko yetu makapuku then linganisheni na Mabandiko Yenu tuone ni watu gani wanatumia Akili kuliko wengine.

Pia tafuta michango Yetu Makapuku hapa jf,, pita katika majukwaa Yote then uangalie watu gani ambao wanatumia Akili kuliko wengine...

Binafsi nimeshakuwa na Awards kibao kutoka kwa uongozi wa Jf kutokana na Michango Yangu na Mabandiko Yangu Ambayo hata hao na wewe mwenyewe hamuwezi kuandika wala kuchangia.

Makapuku imeanzishwa Ili kuleta Usawa jf.. Usawa ambao unapotezwa na wanaojiita Watu maarufu... Usawa wa kupingana kupitia Hoja Kwa hoja na Sio kisa nani kawahi na nani kachelewa kujiunga Jf.

Cha Ajabu hao unaowaita Wakongwe au Maarufu Hawakuwahi wala hawawezi Kuanzisha Bandiko la Aina Yoyote kutokana na kuwa Weupe Kichwani. Naamini mtoa bandiko ameamua Kujipendekeza kwa Watu, lakini Ukiangalia kwa Jicho la Tatu hao uliyowataja Wote wapo sawa na Mimi pamoja na Makapuku Wenzangu.. Rudini Mkatafute Hoja Zenye Mashiko sio Kuendekeza Hoja Za kuleta Utengano... Samahani sana Mkuu Asprin lakini ukweli hauna budi kusemwa
 
Hadi hapa ameshatambua yeye yupo katika kundi gani, maana alitegemea wakongwe watampa kick mwisho wa siku kajikuta anachangia mwenyewe ...
Kumbe humu kuna Sisi na Wao...[emoji15]
Kweli naanza kua mzee sasa, hakika sikujua kama jf kuna matabaka aiseeee.....
 

Sawa bwana mdogo....nakutakia wakati mwema.....
 
ila kuna ukweli kwenye issue ya likes notification zaweza kuwa 20 but zinasoma 5 tu. ila hazina madhara labda hao wanaoziwaza @invissible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…