Aliyekuwa Afisa Elimu Arusha afariki dunia na kuzikwa na Serikali

Hivi ni kwa nini Serikali inazika watu kwa niaba ya wana ndugu wa marehemu? Jee serikali imetenga fedha kwa ajili ya shughuli hiyo?
 
Corona wanaichukulia easy sanaa, huku inaendelea kutafuna kama haina akili
 
Tanzania 🇹🇿 hamna Corona, hamna maambukizi mapya, na watu hawafi Tena. Shule na vyuo vifungue maisha yaanze upya
Kama unamaanisha haya bila shaka wewe ni mmoja wa misukule ya jiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…