3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,589
- 16,336
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, Bwana atupe hekima kuzihesabu siku zetu maana baada ya kifo ni hukumu Kristo atakaporudi mara ya 2
Coro...Aliyekuwa afisa elimu Arusha! Ndugu ndiyo wamemaliza kuona amezikwa na serikali
Pumzika mwalimu
View attachment 1433165
View attachment 1433166
View attachment 1433169
Wanarushwa mavumbini ili tusijue mpk ss wamekufa wangapiiii CCM Ni Zaid ya korona mbwaHivi ni kwa nini Serikali inazika watu kwa niaba ya wana ndugu wa marehemu? Jee serikali imetenga fedha kwa ajili ya shughuli hiyo?
Corona inauwa lazima tuchukue hatuaHivi ni kwa nini Serikali inazika watu kwa niaba ya wana ndugu wa marehemu? Jee serikali imetenga fedha kwa ajili ya shughuli hiyo?
Mbona hawaji huku mtaani kutusaidia kuzika ndugu zetu?Hivi ni kwa nini Serikali inazika watu kwa niaba ya wana ndugu wa marehemu? Jee serikali imetenga fedha kwa ajili ya shughuli hiyo?
Labda bajeti ni ndogo!!Mbona hawaji huku mtaani kutusaidia kuzika ndugu zetu?
Not fairLabda bajeti ni ndogo!!
Wanawafanya watz maboya wasiojua chochote, kweli viongozi wa africa sio watu, wanaficha mara corona imeisha mara amekufa kwa tatizo la kupumua, sa kama COVID-19 imeisha si wafungue vyuo na shule.Tanzania 🇹🇿 hamna Corona, hamna maambukizi mapya, na watu hawafi Tena. Shule na vyuo vifungue maisha yaanze upya
Hivi ni kwa nini Serikali inazika watu kwa niaba ya wana ndugu wa marehemu? Jee serikali imetenga fedha kwa ajili ya shughuli hiyo?
Tanzania [emoji1241] hamna Corona, hamna maambukizi mapya, na watu hawafi Tena. Shule na vyuo vifungue maisha yaanze upya
Ummy na Jiwe mnapukutisha watu kwa covid19.
Tulikuwa tunahadithiwa kwamba Gadafi alikuwa analipa mahari kwa wananchi wake, si vibaya sasa serikali kugharimia mazishi ya raia wake.Hivi ni kwa nini Serikali inazika watu kwa niaba ya wana ndugu wa marehemu? Jee serikali imetenga fedha kwa ajili ya shughuli hiyo?