Aliyekuwa Afisa Elimu Arusha afariki dunia na kuzikwa na Serikali

Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, Bwana atupe hekima kuzihesabu siku zetu maana baada ya kifo ni hukumu Kristo atakaporudi mara ya 2
 
Duh wanakufa bila mpangilio

l love you mamy .
 
Duuu!! ni mwendo wa mchaka mchaka chinja. RIP anyways
 
Tanzania 🇹🇿 hamna Corona, hamna maambukizi mapya, na watu hawafi Tena. Shule na vyuo vifungue maisha yaanze upya
Wanawafanya watz maboya wasiojua chochote, kweli viongozi wa africa sio watu, wanaficha mara corona imeisha mara amekufa kwa tatizo la kupumua, sa kama COVID-19 imeisha si wafungue vyuo na shule.
 
If you're staying at home with money you're in ISOLATION,

if you're staying at home, broke, you're in QUARANTINE,

but if you're staying at home, broke and with a troublesome wife, you're in total LOCKDOWN!

So be clear about your status!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…