Aliyekuwa anakupeleka hotels kubwa na adventures ndio huyo huyo akuoe, tusipeane stress ukubwani

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.

To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
 
POST YA MWAKA. LABDA NA MIAKA PIA.
 
Ni mtazami tu,inaelekea hao waliokuwa wanampeleka outing,wameishiwa,wapo juu ya mawe!
Shemeji yenu nilianza kumpeleka outing na kula bata akiwa form six,ameingia chuo,mpaka anamaliza,ni kula bata tu,likizo tupo Zenj,wazazi was najua yupo campus,leo ndoa ina miaka 12!!
Msiwalaumu mabinti,hakuna anayetaka kuishi kwenye shida,tafuteni pesa,Binti kula bata za njemba,harsfu njemba ikafilisika,isionekane ni kosa,
 
Katika hilo makahaba wastafu, masingo maza, na wanawake waliotelekezwa na wanaume wenye mali na fedha watachukia...
Wanaume jitahidin kuwatesa kisaikolojia hawa wanawake wanaolazimisha kuolewa, wazungusheni wachezeeni na muwadampo...
 
Nafikiri anaempeleka mwanamke hotels ni kwa nia Safi tu na matakwa yake ingawa mimi sio tabia yangu hiyo

Ila nao wajitambue na sio tu Hotel kubwa maana kuna wanaume wengine hata hizo hotel wanaangalia kwenye TV tu
Wengine wanalishwa chips tu,

ila anakuwa hapo miaka hata kuuliza utanioa lini anaogopa

Mungu awasaidie
Na wanaume acheni kuwachezea mabinti bora kuoa 4
 
Sasa kwa nini huyo mtu asimuoe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…