Aliyekuwa anakupeleka hotels kubwa na adventures ndio huyo huyo akuoe, tusipeane stress ukubwani

Aliyekuwa anakupeleka hotels kubwa na adventures ndio huyo huyo akuoe, tusipeane stress ukubwani

Ni mtazami tu,inaelekea hao waliokuwa wanampeleka outing,wameishiwa,wapo juu ya mawe!
Shemeji yenu nilianza kumpeleka outing na kula bata akiwa form six,ameingia chuo,mpaka anamaliza,ni kula bata tu,likizo tupo Zenj,wazazi was najua yupo campus,leo ndoa ina miaka 12!!
Msiwalaumu mabinti,hakuna anayetaka kuishi kwenye shida,tafuteni pesa,Binti kula bata za njemba,harsfu njemba ikafilisika,isionekane ni kosa,
Ewaaa....m

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.

To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright

Kwa kifupi una wa shauri hawa Dada zetu waangalie wasi haribu maisha kwa kuwa na mahusiano ya Tamaa yasiyo na future, andiko zuri sana kwenye mistari michache.
 
Loneliness is a helluva drug..Even if you’re not desperate..even if you realistically have options

Women..or people in general..will see what they wanna see in a person sometime

You have a few dates with a good looking well groomed guy with some social skills..he says a few right things..you see what you want to see

Love and respect yourself and you're gonna be fine. Focus on you and you will attract those worthy😊
Hii ni ngumu sana kwa wanawake wa miaka 18-25, maana wale ambao ni worthy hawaonyeshi tabia halisi za mwanaume, wako submissive na nyie hamuwataki, ila wale playboys wanaonyesha Kila sifa ya mwanaume halisi ambaye wanawake wengi wanataka, at the end of the day kinawatokea Cha kutokea mnaanza kumuomba Mungu akupatie mcha Mungu na Mungu alivyo fundi anakupatia wa kufanana naye, nimeshuhudia na Mungu hakosei kabisa.
 
Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s analalamika amna mtu wakumuoa.
Aliyekuwa nakupeleka expensive hotels akuoe. Simple don't stress others.
Reap, what you sow.

To some, not every one. Nyie mlio twendwa na bata amkula poleni. You gave every thing God provides. Everything will turn alright
Waambie hivi.....ukiona unapewa mitoko matata jiandae kisaikolojia...hiyo ndio pensheni na usitegemee ipo siku utaitwa mama mwenye nyumba.

Mume muoaji huwa na malengo ya ajabu hasa mwenye akili.
Ataanza nawe out...akiona unamfaa anaanza kukuandaa kuwa mke/mama watoto...how?
Hilo ni somo lingine
 
Hii ni ngumu sana kwa wanawake wa miaka 18-25, maana wale ambao ni worthy hawaonyeshi tabia halisi za mwanaume, wako submissive na nyie hamuwataki, ila wale playboys wanaonyesha Kila sifa ya mwanaume halisi ambaye wanawake wengi wanataka, at the end of the day kinawatokea Cha kutokea mnaanza kumuomba Mungu akupatie mcha Mungu na Mungu alivyo fundi anakupatia wa kufanana naye, nimeshuhudia na Mungu hakosei kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]agiza soda kwa jina langu
 
Safi sana..Kama ambavyo Dada zako na Watoto zako wanavyozungushwa..wanavyochezewa na kudampiwa
😅😂 Mimi dada zangu wamelelewa vzuri na walizingatia mafunzo ya wazazi na dini na hatimae wana maisha mazuri na familia nzuri...
Dada zangu sio malaya sio madanga sio makahaba sio masingo maza kama wewe, umejaa laana kwa kulala na kila aina ya mwanaume umejaa laana kwa kukojolewa hovyo na wanaume... Umechoka umefubaa na mawigi yako sasa unalazimisha vijana wakuoe, akuoe nani ajuza usie na mbele wala nyuma utafia kwenu huna lolote zaidi ya magonjwa ya ngono, wakat wenzako walikua wanatunza usichana wao wewe ulikua unazurura kila club bar na pub kunywa pombe ngono na shisha 😂😅 ng'ombe tasa wewe acha kurukia wanaume usiowajua...
 
Mnaoa mliokua nao wakati hamna kitu? Aah wapi ni wachache sana wengi mkishapata mapene mnaanza kuwaona waliowavumilia mkiwa mmepigika hawana maana, ni washamba mnawaacha mnatafuta sasa wanawake mnaoona ni wa hadhi yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
sahihi kabisa, halafu wanakuja hapa kujidai kutema nyongo
 
Mimi kwa hilo ni mfano wa kuigwa.

Nilivvyokuw sina kitu hao wazuri wazuri na wasomi hawakunijali kabisa.

Nilivyozinyaka nikapeleka upendo kwa Yule aliyeniona nina thamani akanipe utelezi kipindi cha stress na hali ngumu.

Mpaka leo niko naye anatembe amekaa[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vikiwa bado visichana vinajifanya vipo hot na expensive! Wakishafikisha miaka 30 na kuwa mangoro wanaanza kuhaha na kupanick na kwenda kwenye maombi na kwa waganga ili waolewe. Wanaishia kuwa single maza and very bitter! Stupids!!
 
Mkuu hayo mambo hayana kanuni maalum, usiumize sana kichwa. Mbona kuna wakati mtu mmoja anaweza kushindaniwa na watu zaidi ya wawili?
 
Vikiwa bado visichana vinajifanya vipo hot na expensive! Wakishafikisha miaka 30 na kuwa mangoro wanaanza kuhaha na kupanick na kwenda kwenye maombi na kwa waganga ili waolewe. Wanaishia kuwa single maza and very bitter! Stupids!!
Duuh una maneno makali
 
Back
Top Bottom