Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Tatizo wengi wanaona walale njaa mjini kuliko kushiba kijijiniWaje niwape hifadhi huku kijiji kwetu nina ekari kubwa wataishi kwa furaha ata wakiwa 50+
Kuyaelewa haya maisha yanataka uwe na Imani kuwa ipo siku utakufa tu
Kwa hiyo ni bora kuwa na furaha kuliko kuishi kwa mateso
Bora umetoa ofa