Aliyekuwa askofu Konde aondolewa wakfu. Fimbo, msalaba na pete yake vyaondolewa wakfu pia. Sasa atabakia kuwa muumini wa kawaida

Si unajua raisi wao ni kutoka kwa kabila linaloota pesa nae kawaambukiza maaskofu wenzake,

Si unajua raisi wao ni kutoka kwa kabila linaloota pesa nae kawaambukiza maaskofu wenzake, wote ni wachovya asali
Huyo rais was amekaa miaka mingapi kiasi cha kuwazoeza kulamba asali? Watu wenye mawazo kama yako ya kikabila wanatia fedheha sana!
 
Kuna watu hawasali Lutheran lakin wanajifanya wanaijua Sana KKKT wabongo vichwa maji ujuaji mwingi mwingine anajikuta anaijua Urusi na marekani nje ndani Kama wew s mlutheri s ukae kimya wengine hawaijui hata urus na marekani wako bara gan lakin wanajikuta wajuaji Wabongo acheni ujuaji kwa vutu ambavyo hamvijui
 
Kwani alitoka kuwa muumini wa kawaida hadi kuwa askofu? labda waseme wanamwondelea uaskofu abaki na uchungaji lakini siyo kusema abaki kuwa muumini wa kawaida.
 
huku kwetu tuna redio inaitwa upendo hapa pwani tu haipatikani inalazimu tusikilize redio ya wapo.

kkkt mna nini lakini. nani kawaondolea ROHO MTAKATIFU WA MUNGU ?

namtamani hata dada yangu aliyeamua kusali kwa lazaro.
 
Vyote ulivyouliza vinamajibu ila kujibu mpumbavu ni kuipoteza muda

Hujui kuhusu kkkt
 
Wewe mburula, hizo ni taarifa zinapatikana kwenye public domains. Wengine sisi ni wanasheria tumehusika kwenye cases nyingi ya taasisi mbalimbali zikiwemo za dini hivyo tunajua.

Una akili ndogo sio rahisi kuelewa mambo mengi kwa wakati mmoja.
Wewe utakuwa juha kabisa unapojiita mwanasheria wewe unajihisi upo mwenyewe? Nahakika utakuwa unajitolea somewhere ndo huwa mnambwbwe sana
 
Kaanzishe na wewe kanisa lako ujue siri ya urembo sio kutuuliza sisi.
 
huku kwetu tuna redio inaitwa upendo hapa pwani tu haipatikani inalazimu tusikilize redio ya wapo.

kkkt mna nini lakini. nani kawaondolea ROHO MTAKATIFU WA MUNGU ?

namtamani hata dada yangu aliyeamua kusali kwa lazaro.
Kkkt haina sheria ya kukubana au kukulazimisha ubaki hapo, hupo free kusali unako taka ukawe na amani.......
Redio ipo inaitwa upendo lkn inawalazimu kusikiliza wapo!?!? Uliambiwa lazima ukiwa kkkt usikilize upendo.....

Kkkt itabaki hivyo ilivyo..kasoro haziwezi kosekana kwa cse inaendeshwa na wanadamu kama wewe.
 
huku kwetu tuna redio inaitwa upendo hapa pwani tu haipatikani inalazimu tusikilize redio ya wapo.

kkkt mna nini lakini. nani kawaondolea ROHO MTAKATIFU WA MUNGU ?

namtamani hata dada yangu aliyeamua kusali kwa lazaro.
Ulimsikia wapi Roho Mtakatifu anasikiliza redio?
 
Tunachanganyana tu kwa sababu ya ujinga wetu.Mtu anakuwa mchungaji kwa sababu anachunga watu,akiacha kuchunga/kjsimamia kundi la watu mfano akawa mfanyabiashara anakuwa siyo mchungaji tena.
Askofu ni mwangalizi wa dayosisi.Yaani dayosisi ni eneo linakuwa lina makanisa mengi alafu askofu anayasimamia yale makanisa.Au anawasimamia wale wachungaji,sasa wakimuondolea madaraka hayo anaendeleaje kuwa askofu.
Huyo anakuwa kama mtu aliyefukuzwa kazinya ualimu ila anaitwa mwalimu.Ila kimsingi siyo mwalimu.
 
Dini ni biashara kama biashara nyingine tu
Tofauti ni kwamba biashara ya dini inalipa haina hasara.

Wewe kazi yako ni kuwajaza hofu kondoo mazoba kuhusu mbinguni wakati wewe mwenyewe hujawahi kufika mbinguni na hujui hatma yako.
 
Tofauti ni kwamba biashara ya dini inalipa haina hasara.

Wewe kazi yako ni kuwajaza hofu kondoo mazoba kuhusu mbinguni wakati wewe mwenyewe hujawahi kufika mbinguni na hujui hatma yako.
Hhahahah !! Kabisa kaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…