Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ni vizuri uweke na wasifu wake hapaMara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
View attachment 3432655
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.
Tuendelee kusubiri.
DuhMara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
View attachment 3432655
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.
Tuendelee kusubiri.
Hawajazoea heka heka za upinzaniMara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
View attachment 3432655
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.
Tuendelee kusubiri.
Alikuwa polisi,alikuwaga mtu poa sana na mwanamichezo hakuwaga na unoko wa kivileNi nani huyu Mtu?
Aliwahi kuwa RPC mikoa mbali mbali ni mdau mkubwa sana michezo nchiniiNi vizuri uweke na wasifu wake hapa
Huyu ni project ya ccmMara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
===================
Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa kadi yake ya uanachama na Kiongozi wa chama, Dorothy Semu.
View attachment 3432655
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.
Tuendelee kusubiri.
Rafiki wa KikweteNi nani huyu Mtu?
Acha aungane na ZittoHuyu ni project ya ccm
Isiwe tu kajiuinga baada ya uamuzi wa. Mpini tu?,Mara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
===================
Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa kadi yake ya uanachama na Kiongozi wa chama, Dorothy Semu.
View attachment 3432655
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.
Tuendelee kusubiri.o
Kazi maalumu!Mara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
===================
Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa kadi yake ya uanachama na Kiongozi wa chama, Dorothy Semu.
View attachment 3432655
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.
Tuendelee kusubiri.
Huyu naye anaweza kuwa chapa ya jogooMara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.