GE2025 Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow ajiunga na ACT Wazalendo

GE2025 Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow ajiunga na ACT Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
===================
Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa kadi yake ya uanachama na Kiongozi wa chama, Dorothy Semu.

View attachment 3432655

Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.

Tuendelee kusubiri.
Chadema nyie muwe busy na mipango ya maandamano sasa kufuatilia act ....ndo nini
 
Kwasasa Chama makini kilichobaki ni ACT peke yake, Chadema ujuaji umewapoza, wapo sawa na TLP na CUF bila kutumia akili Tanzania chama makini hakiwezi ku survive. Hongera sana Zitto kabwe mtaalam wa siasa za upinzani Tanzania.
Mioyoni ya watu ni Chadema
 
Back
Top Bottom