GE2025 Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow ajiunga na ACT Wazalendo

GE2025 Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow ajiunga na ACT Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.

Tuendelee kusubiri.
Kwasasa Chama makini kilichobaki ni ACT peke yake, Chadema ujuaji umewapoza, wapo sawa na TLP na CUF bila kutumia akili Tanzania chama makini hakiwezi ku survive. Hongera sana Zitto kabwe mtaalam wa siasa za upinzani Tanzania.
 
Huyu atakuwa katumwa ili kuleta kiki za kutuliza upepo mbaya unaovuma ccm.
Upepo gani nyie, ccm kwenye uchaguzi hawacheki na Nyani, hawahofii chochote, Chadema wamejichimbua kaburi wenyewe.
 
Kwasasa Chama makini kilichobaki ni ACT peke yake, Chadema ujuaji umewapoza, wapo sawa na TLP na CUF bila kutumia akili Tanzania chama makini hakiwezi ku survive. Hongera sana Zitto kabwe mtaalam wa siasa za upinzani Tanzania.
CHADEMA ikose uhalali kwa sababu ya kuukataa uhuni,uvunjifu wa sheria,mauaji,utekaji,utesaji na mabaya mengine?Kuna uwezekano mkubwa tunatofautiana sana na mbali mnoo katika kuyaangalia mambo na kuyatolea maamuzi.
 
Nakwambiaje njia anayopitishwa Chadem hivisasa ndio njia iliyopita TLP na CUF, muda ni mwalimu mzuri tusiongee mengi.
 
Maccm yana tafuta namna ya kubalance uchaguzi ili uonekane umefanyika vizuri na kulikuwa na ushindani mkali. Kikubwa hapa ni wananchi kutulia majumbani na hakuna haja ya kenda kwenye kampeni zao na siku ya kupiga kura hakuna kwenda wajipigie wenyewe.
Endelea kuota watu wamfano wako wako wachache sana lkn Rais wetu kwa mara ya kwanza kafanya tukio la Upendo kwenu upendo wa Mama kaimarisha sana upande wa huduma ya Afya Tiba mbalimbali !!!

kabla ya kampeni kuanza

kwahiyo ndugu endelea kuumwa kuugua na Genge lako maumivu yakiwazidi nendeni hospital !!

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN kakuekea mazingira mazuri utibiwe upone ili urudi tena mtaani kazi kwako kuendelea kuugua au kubadili mawazo yako Mama anapenda Afya yako

uwepo kushuhudia mikusanyiko ya watu hujawahi ona ktk maisha yako!!

CCM imeamua na Wa TZ wameamua kuweka history kubwa ndani ya TZ na ukanda wote wa Africa Mashariki kuwa inawezekana na sio dhambi kumchagua rais wa kwanza wa kike kuchaguliwa kwa njia ya Demokrasia kwenye Kanda yetu.

Kazi kwako uwe sehemu ya history au uendelee kuumwa..

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN bado anahitaji kura yako uwe sehemu ya history

Kumbuka msemo mti wenye matunda majibu unayo

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN kafanye mengi kwaajili ya maendeleo yetu.
 
Mara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
===================
Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa kadi yake ya uanachama na Kiongozi wa chama, Dorothy Semu.

View attachment 3432655

Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.

Tuendelee kusubiri.

..huyu atabembelezwa na serikali abadili maamuzi kama ilivyotokea kwa Maj.General Marco Mwita Marwa ambaye alijiunga na Chadema.
 
Back
Top Bottom