misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
Top leaders akiwemo Zittoumepigaje tathmini ya udini?
Top leaders akiwemo Zittoumepigaje tathmini ya udini?
Ndio utaje wakati gani 😂Alikuwa RPC Mwanza, wakati huo
kwamba?Top leaders akiwemo Zitto
Huyu Mzee msanii!Mara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
===================
Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa kadi yake ya uanachama na Kiongozi wa chama, Dorothy Semu.
View attachment 3432655
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.
Tuendelee kusubiri.
Utajua hujuiHuyu Mzee msanii!
Mimi huyo!Utajua hujui
Wanamichezo wote wanamjua vizuri sana 😄🙏Kwa uzee huo ana impact gani? Yeye wala kwenye vichwa vya watu hakuna anayemjua
Ule upuuzi cdm walifanya 2015 wa kumuokota Lowassa hautakaa urudiwe tena.Naona umeumia sana, Angelikwenda CHadema ungelikuwa unamwaga sifa tu muda huu
Kiswele Injini nyuma? Hatari Sana ile kitu. Saa sita mchana inakatiza Ipogolo hiyoooKaka yake alikuwa Dereva wa Kiswele Bus Enzi za akina Giriki 😂😂
Kwa hiyo Waislam hawapaswi kuwa wanachama wa vyama vya Siasa sio??..You are too low bro!Naona jamaa ana sigida .
Hiki chama hiki ni cha kufutwa mapema sana
Una uhakika ni muislamu huyo?Udini umempeleka huko kama Ponda
Ila kachoka Sasa Uzee apumzikeAliwahi kuwa RPC mikoa mbali mbali ni mdau mkubwa sana michezo nchinii
Gen Z hawamjuiWanamichezo wote wanamjua vizuri sana 😄🙏
Wahenga husema "uzee dawa".Ila kachoka Sasa Uzee apumzike
Yule Marehemu Ali Kibao alikuwa anamjua nani?Kwa uzee huo ana impact gani? Yeye wala kwenye vichwa vya watu hakuna anayemjua