LEngo lote ni kupoteza umaarufu wa Chadema, wasio na akili watahisi mzee anaikomoa ccmMara nyingi wanaotoka huko wakiingia upinzani wanashughulikiwa, Mifano ni mingi mno, Wako walioshushwa kwenye Magari na kutobolewa macho.
===================
Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow leo Jumanne Agosti 5, 2025, amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Rwambo amekabidhiwa kadi yake ya uanachama na Kiongozi wa chama, Dorothy Semu.
View attachment 3432655
Labda uhamisho wake uwe wa Mchongo, kwa vile chama alichohamia kimekula kolabo.
Tuendelee kusubiri.