Chawa wao watakula vilaki mbili mbili tu ,wao hivyo wanaridhika na kutanua miguu juu kama mijusiHaya kawe mkuu wa WILAYA kweli chadema ni chuo Cha uongozi machawa endeleeni kusugua lapa.
Nani mwenye ushawishi mkoa wa mwanza?Hahaha huyo ni role model wao?
Kuna watu wanatengenezwa kwenye events hata hawana ushawishi wowote.
Na expectation ni kuvuta chadema wajiunge na ccm au nini lengo lao?
Kumbe hii minada bado ipoAliyekuwa Katibu Mtendaji wa CHADEMA mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Mkoba, ameamua mwenyewe bila kulazimishwa kuachana na chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, mbele ya mkutano wa kampeni za Urais kupitia CCM katika uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 8 Oktoba 2025.
Bw. Boniface amejiunga na CCM na kusema ametimiza ndoto yake ya kuchana na chama cha kuhamisha vurugu na kuhamia chama chenye kubeba matarajio ya watanzania katika maendeleo.
Mbona na wanaCCM nao wanatekwa?Jamaa ameogopa kutekwa, kaenda ccm kuokoa uhai wake.
Hakuna wanaotoka Chauma kwenda CCM?Ngoja wafia chadema wa JF waje na matusi 😂
Siasa bhana, kwahy jamaa ameamua kuvaa t-shirt ya ccm juu ya t-shirt ya chadema 😂