TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo.

Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari 2025.ya ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Fadhili Maganya ambayo hadi sasa Ajali hiyo imeshaua watau watano.

1743488743245.png

Chanzo: Haroub TV
 
View attachment 3289396
Chanzo: Haroub TV
Kwa kheri CCM. Pumzika kwa amani. Kama uliibia watanzania Mungu anajua chakufanya
 
FB_IMG_1743505125914.jpg
Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM (UWT) Mbeya Bi. Lucia Sulle, ambaye amekuwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi kwa muda wa siku (36), tangu wapate ajali Tarehe 25 mwezi Februari 2025 kwenye ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Bw. Fadhili Maganya, amefariki dunia, na kufikisha idadi ya watu sita (6) waliofariki dunia katika ajali hiyo wakiwemo waandishi wa habari wawili.

Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi Mkoa wa Mbeya Bw.Christopher Uhaghile, amethibitisha kifo chake.
 
#HABARI: Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM (UWT) Mbeya Bi. Lucia Sulle, ambaye amekuwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi kwa muda wa siku (36), tangu wapate ajali Tarehe 25 mwezi Februari 2025 kwenye ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Bw. Fadhili Maganya, amefariki dunia, na kufikisha idadi ya watu sita (6) waliofariki dunia katika ajali hiyo wakiwemo waandishi wa habari wawili.

Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi Mkoa wa Mbeya Bw.Christopher Uhaghile, amethibitisha kifo chake.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.

#Follow @radioonetanzania
Alikuwa hajui kabia
 
Amos Makalla hujali wanaokupigania kwa nguvu zao zote? Kazi yako ni kuangamiza upinzani, ila hujali pia watu wako kwa chochote kile. Maisha yao wengi ni kama wapinzani, wananchi wengi wasio na mirija serikalini wanangamia na kuteseka mahospitalini na majumbani kwa kukosa pesa.
 
Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Mbeya, Lucia Sulle, ameaga dunia baada ya kulazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa siku 36.
Screenshot 2025-04-01 141641.jpg

Sulle alihusika katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 25 Februari 2025, wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Fadhili Maganya. Kifo chake kinafikisha idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na ajali hiyo kuwa sita (6), wakiwemo waandishi wa habari wawili.

Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya, Christopher Uhaghile, amethibitisha taarifa ya kifo chake.

Chanzo: Nipashe

====================​

Simanzi imeibuka tena jijini Mbeya baada ya kifo cha Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Mkoa wa Mbeya, Lucia Sule wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Kanda Mbeya.

Kifo hicho kinafanya kufikia jumla ya vifo sita katika ajali iliyotokea Februari 25, 2025 katika eneo la Shamwengo wilayani Mbeya wakati wa ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Fadhil Rajabu.

Ajali hiyo ilihusisha gari la serikali na basi Kampuni ya CRN ambapo mbali na vifo hivyo, watu saba walijeruhiwa na kupelekwa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kwa matibabu.

Katika ajali hiyo, watu watatu walifariki papo hapo wakiwemo mwandishi wa kujitegemea Furaha Simchimba, mjumbe wa kamati ya utekelezaji CCM Wilaya ya Mbeya, Daniel Mselewa na Utingo wa basi, Isaya Geazi ambao waliagwa Februali 27 jijini Mbeya.

Chanzo: Mwananchi
 
Halafu huwezi amini, Amos Makala ambaye ndio katibu mwenezi wa CCM kitaifa ilishindwa kufika hospitali kumjulia hali na kumpa pole huyo mwanaCCM muandamizi lakini mara moja alifunga safari kumjulia hali yule wa CHADEMA aliyepigwa.

Poleni wafiwa.
CCM ni laana.
 
Back
Top Bottom