TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

View attachment 3289824 Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM (UWT) Mbeya Bi. Lucia Sulle, ambaye amekuwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi kwa muda wa siku (36), tangu wapate ajali Tarehe 25 mwezi Februari 2025 kwenye ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Bw. Fadhili Maganya, amefariki dunia, na kufikisha idadi ya watu sita (6) waliofariki dunia katika ajali hiyo wakiwemo waandishi wa habari wawili.

Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi Mkoa wa Mbeya Bw.Christopher Uhaghile, amethibitisha kifo chake.
Makalla hakuwahi kwenda kumuona tangu apate ajali hadi umauti kumkuta yeye yuko bize na yule mlevi wa konyagi anayeigiza kupigwa, Amos Makalla ni mpumbavu sana
 
Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo.

Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari 2025.ya ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Fadhili Maganya ambayo hadi sasa Ajali hiyo imeshaua watau watano.

View attachment 3289396
Chanzo: Haroub TV
Makala ana drama za kumchangia katibu wa Bawacha half kumbe kuna katibu wa UWT yupo ICU Mbeya ana alitakiwa awe Mhimbili au Nairobi kwa matibabu, CCM ni janga sana
 
Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo.

Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari 2025.ya ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Fadhili Maganya ambayo hadi sasa Ajali hiyo imeshaua watau watano.

View attachment 3289396
Chanzo: Haroub TV
Masikini ilikuwa pisi kweli................
 
View attachment 3289824 Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM (UWT) Mbeya Bi. Lucia Sulle, ambaye amekuwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi kwa muda wa siku (36), tangu wapate ajali Tarehe 25 mwezi Februari 2025 kwenye ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Bw. Fadhili Maganya, amefariki dunia, na kufikisha idadi ya watu sita (6) waliofariki dunia katika ajali hiyo wakiwemo waandishi wa habari wawili.

Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi Mkoa wa Mbeya Bw.Christopher Uhaghile, amethibitisha kifo chake.
Dada bado mbichi kabisa😭😭😭, siasa ndio chanzo cha kifo chake.
 
Amos Makalla hujaiona hii issue? at the very least kumtembelea kama ulivyofanya kwa Sigrada.
CCM na viongozi wake huenda sehemu yenye maslahi tu. Huyu walishamwona kama mzigo, aliwafaa alipokuwa mzima tu. Ngoja....... kwenye msiba pia watajazana lakini siyo kwa kusikitika bali waonekane ili wapate credit.
 
Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo.

Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari 2025.ya ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Fadhili Maganya ambayo hadi sasa Ajali hiyo imeshaua watau watano.

View attachment 3289396
Chanzo: Haroub TV
Safi
 
Back
Top Bottom