TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

Labda alienda bila camera
 
Nikajua yule Dada wa chadema aliepigwa mtu angekua anaenda kula mvua ya maisha jela muda huu
 
POLENI.aise mabinti wa kiiraq(wambulu) ni wazuri sana
 
Marangi amefika mara kadhaa ndani ya hizo siku 36 Mbeya hatujaona picha zake akiwa ICU kumjulia hali katibu wa UWT apumzike kwa amani chama kilimkatia tamaa na amepatwa na ajali akiwa katika kazi za chama
 
😅
 
😅dunia hii ina majabu sna
 
Kifo ni kifo tu
 
Makalla ,anakoipeleka ccm anajua mwenyewe
 
Wale waandishi wa habari wao walipona?
 
Huyu dada alikuwa mzuri sana!

Makalla akiwa mbeya kamuacha ICU,Kakimbilia mjinga Moja Dodoma ,eti anaumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…