TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

Makalla hakuwahi kwenda kumuona tangu apate ajali hadi umauti kumkuta yeye yuko bize na yule mlevi wa konyagi anayeigiza kupigwa, Amos Makalla ni mpumbavu sana
 
Makala ana drama za kumchangia katibu wa Bawacha half kumbe kuna katibu wa UWT yupo ICU Mbeya ana alitakiwa awe Mhimbili au Nairobi kwa matibabu, CCM ni janga sana
 
Masikini ilikuwa pisi kweli................
 
Dada bado mbichi kabisa😭😭😭, siasa ndio chanzo cha kifo chake.
 
Amos Makalla hujaiona hii issue? at the very least kumtembelea kama ulivyofanya kwa Sigrada.
CCM na viongozi wake huenda sehemu yenye maslahi tu. Huyu walishamwona kama mzigo, aliwafaa alipokuwa mzima tu. Ngoja....... kwenye msiba pia watajazana lakini siyo kwa kusikitika bali waonekane ili wapate credit.
 
Safi
 
CCM NI WABAGUZI YAANI MAKALA ANAMWACHA MKE WAKE ANAKUFA ANAKIMBILIA KWA WATU WENGINE
🀣🀣🀣🀣🀣🀣😭😭😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…