TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

upload_2017-4-6_12-57-3.jpeg
 
Naomba uje unifundishe tafadhal

Sawa njoo kanisani kwangu nikuelekeze kuhusu upotoshaji wa kusema mtu akifa anaenda kupumzika kwa amani. Hakuna kitu kama rip wala kwa amani, mtu akifa anasubiri parapanda anakua kama tofali tu. Toka shetani aseme 'hakika hamtakufa' badi kuna watu mpk leo wanamwamini ndugu shaitwain na kusapot kwa kusema rest in peace
 
Ninakumbuka nilisoma historia yao, kiwanda chao cha kusaga nafaka kilitaifishwa na kufanywa National Milling na yeye akawekwa kuwa General Manager. Watu wa zamani walipitia mengi. R.I.P Sir Chande.
Hiyo national milling ndo ipi? au Ile ya iringa
 
Back
Top Bottom