TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

Kama dini zingekuwa kama siasa au pombe kwamba mtu haruhusiwi kujihusisha nazo hadi afikishe miaka 18, hiki kizazi chetu kisingezikuta hizi dini.

Hakuna mtu mwenye akili iliyokomaa ambaye angepoteza muda na pesa kwa ajili ya vitu visivyo na mantiki........Ingekuwa vigumu sana kumdanganya mtu mzima kwamba dunia yote pamoja na watu wa rangi zote ni matokeo ya familia ya watu wawili miaka chini ya 10000 iliyopita.

Watu wanakumbatia dini sababu walizifundishwa tangu utotoni tena kwa vitisho vya kwenda motoni milele kama wataacha hizo dini.
Imefikia kipindi huwa najiuliza, hivi mtu anaeamini kwamba kuna Mungu na Shetani, hivi yuko serious kweli?!
 
Back
Top Bottom