Mungu wa milele ni mkuu sana.
Uwepo wa Mungu hauwezi "kuthibitika" kwa njia ambayo sayansi inataka kuthibitisha au kukanusha ukweli wa kuwepo kwa nguvu ya Mungu katika uumbaji wa ulimwengu haiondoi ukweli halisi wa uwepo wa Mungu katika maisha yetu.
( nukuu kutoka kwa waaminio Waebrania 11: 1-3).
- Kuna suala la DNA, (DNA is a three-billion-lettered program telling the cell to act in a certain way) computer program is made up of ones and zeros, like this: 110010101011000. The way they are arranged tell the computer program what to do. The DNA code in each of our cells is very similar. It's made up of four chemicals that scientists abbreviate as A, T, G, and C. These are arranged in the human cell like this: CGTGTGACTCGCTCCTGAT and so on. There are three billion of these letters in every human cell!!)
- Elements 59 zinazopatikana katika mwili wa binadamu hupatikana pia katika udongo,wanasayansi wanajua.
- kuna mambo ya galaxy etc
Ndugu sisi ni viumbe wa kiroho tulioumbwa katika utatu NAFSI-MIND, MWILI-BODY na sprit-ROHO, tumeumbwa kwa mfano wa MUNGU.
Ukiishi kwa kutambua kuwa upo katika nafsi tatu hilo swali la kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu hata siku moja hauwezi kujiuliza bali utathibitisha mwenyewe kupitia roho/sprit.
Mwili/body ni part ya sisi wala si ukamilifu wa sisi tulivyo ukitaka kujitenga kuwa wewe ni mwili tu, mambo ya kiroho hata nikuelezeje hautaelewa.
Kila aitwaye binadamu ana utashi/hamu ya kuabudu na kujenga imani yake katika sehemu fulani Psychologists wanajua hili ndio maana tangu enzi na enzi watu wamekuwa wakiabudu vitu mbalimbali.
Roho/sprit ni nguvu ya Kiungu ndani yako. Note: kuna nguvu fake zisizotokana na Mungu muumbaji pia.
Kuna watu na akili zao za kutosha tuu wanaamini Mungu wao ni Ng’ombe na wana sababu zao za kutosha, na wengine tumbili na wao wana sababu zao za kutosha.
Naamini pia hata wale wanaosema hakuna Mungu wana Mungu wao wanayemwabudu kama hawa hapo juu maana ile nafsi ya roho aliyoiweka mwenyezi Mungu bado ina tangatanga kufanya kazi.
Nafsi/mind huyu ni wewe mwenyewe
Kwa kamusi ya waingereza
The element of a person that enables them to be aware of the world and their experiences, to think, and to feel; the faculty of consciousness and thought.
Na kwa imani za watu mwili na roho vikitengana hii nafsi huendelea kuishi kwa kutangatanga/kwa utulivu
.
Hitimisho:
Mungu yupo na anaishi katika sisi ndo maana tunaweza kusema yale tuyasemayo. Ili kujua/kuhakiki uwepo wake tumia nafasi yako ya pili(roho)