laban amos omware
Member
- Sep 3, 2018
- 19
- 2
Hello
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imefikia kipindi huwa najiuliza, hivi mtu anaeamini kwamba kuna Mungu na Shetani, hivi yuko serious kweli?!Kama dini zingekuwa kama siasa au pombe kwamba mtu haruhusiwi kujihusisha nazo hadi afikishe miaka 18, hiki kizazi chetu kisingezikuta hizi dini.
Hakuna mtu mwenye akili iliyokomaa ambaye angepoteza muda na pesa kwa ajili ya vitu visivyo na mantiki........Ingekuwa vigumu sana kumdanganya mtu mzima kwamba dunia yote pamoja na watu wa rangi zote ni matokeo ya familia ya watu wawili miaka chini ya 10000 iliyopita.
Watu wanakumbatia dini sababu walizifundishwa tangu utotoni tena kwa vitisho vya kwenda motoni milele kama wataacha hizo dini.
Mimi naanda kitabu kinaitwa .….....A knight in Africa: Journey From Bukene.