Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
...kanuni yao inasema ktk moja ya mistari hapo "kwa kutambua na kujiandaa na kutokwepeka ka kifo"..Kumbe nao hufa?
REST IN POWER (RIPmkuu hiyo rip ina maanisha nini? naona hapo juu watu wanararuana!
Nisije na mimi nikaropoka rip kumbe haifa
Hamn sehem nyengine utakayoweza kunifundisha mpk Kanisani samahan lknSawa njoo kanisani kwangu nikuelekeze kuhusu upotoshaji wa kusema mtu akifa anaenda kupumzika kwa amani. Hakuna kitu kama rip wala kwa amani, mtu akifa anasubiri parapanda anakua kama tofali tu. Toka shetani aseme 'hakika hamtakufa' badi kuna watu mpk leo wanamwamini ndugu shaitwain na kusapot kwa kusema rest in peace
kwa heshima kwanza:-Natamani nijue tafsiri ya haya maneno
Siku mbili! Hii itakuwa habari muendelezo wiki nzima, maana Wabongo wanapenda kusikia habari kama hizi!...Naona magazeti daku yakipata habari za kuuzia walau siku mbilli hizi!
Wakongwe wa MMU kunbe bado mnafuatilia evolution of new generation ya members wa JFafu baadae utakuta ni uvumi tuu
Harmorapa...Nani atarithi nafasi yake?