Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Waliokubali kuwa nyani.
Alipwe millions DSTv iwe issue?
Madai ya kijinga sana haya......umeajiriwa na kulipwa mshahara... Majukumu ya dstv..au gari la kutembelea sio la wana yanga....mshahara wake atautumia kwenye nini hasa? Kocha anataka hata jukumu la kumfurahisha mkewe tubebe sisi?Ninyi mna matatizo.
Hata dstv ya elf 79 mmeshindwa kumunulia kocha.
Acha awatukane
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Madai ya kijinga sana haya......umeajiriwa na kulipwa mshahara... Majukumu ya dstv..au gari la kutembelea sio la wana yanga....mshahara wake atautumia kwenye nini hasa? Kocha anataka hata jukumu la kumfurahisha mkewe tubebe sisi?
Sio kila Mzungu ni Padri ni muda sasa kwa timu zetu kubwa kuwaamini makocha wazawa
Ninyi mna matatizo.
Hata dstv ya elf 79 mmeshindwa kumunulia kocha.
Acha awatukane
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kwani DStv Shs ngapi?
Kashindwa elfu 90 na Shs 44,000 kila mwezi.
Yule nguruwe aondoke tu.
Hadi kifurushi cha internet si dstv tu,hawa nyani ni matapeli
Watanzania kweli hawajui soka hajakosea maneno aliyoongea ni yaukweliShirikisho la Soka la nchini Afrika Kusini (SAFA) limemfutia jumla vibali vya kazi Luc Eymael aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga kufanya kazi ndani ya nchi hiyo. Imeeleza taarifa kupitia tovuti ya SAFA.
Itakumbukwa, Eymael Julai 26 baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Lipuli alisambaza taarifa ambazo zilikuwa zinaonyesha ubaguzi wa rangi na kusema watanzania hawajui soka.
Tayari Yanga imeshamfuta kazi Eymael jumla kutokana na kitendo hicho na kuomba radhi kwa mashabiki, Serikali na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF).
Kocha huyo pia aliomba msamaha kwa kueleza kuwa alifanya hivyo kutokana na hasira alizokuwa nazo kwa kupitia kipindi kigumu ndani ya Yanga.
Umegonga humo humo.Naye kazidi,yaani dstv ni kitu cha kulilia public kwenye media ?sisi wenyewe dstv tunalipia na kuangalia sasa kocha anayelipwa mkwanja mzuri anapolilia vifurushi vya dstv akili itakuwa haimtoshi
Mkataba wenye kipengele cha DSTv?
Kocha auseum nae alisemaje juu ya viongozi wa simba wakati anaondoka?Hawa jamaa janja janja sana.
Sakata la morrison tukasema labda morrison ana matatizo. Haya juzi kocha wao mkuu.
Ameliamsha...
Tena kafika mbali kuwa viongozi wa yanga hawana ELIMU.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa janja janja sana.
Sakata la morrison tukasema labda morrison ana matatizo. Haya juzi kocha wao mkuu.
Ameliamsha...
Tena kafika mbali kuwa viongozi wa yanga hawana ELIMU.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Samahani,
Hamna taifa linalopenda Tanzania kama Afrika Kusini, watu wa Afrika Kusini wanapenda sana waTanzania.
Mambo ya ubaguzi hayafai kushangilia it doesn't matter upo team gani hutakiwi kushadadia hivi vituYanga wanatuletea majitu gani? Wachezaji vichaa, makocha vichaa[emoji23][emoji23][emoji23] ona Sasa mmeambiwa utopolo Ni manyani!
Hivi Morrison wa tarehe 8 yuko wapi? Wabongo hawachelewi kukubadilikia[emoji23]
Umeelewa ulichokisoma?Mambo ya ubaguzi hayafai kushangilia it doesn't matter upo team gani hutakiwi kushadadia hivi vitu
Hakika,Tangu uhuru ,zinapanda sana na wale jamaa hata visa hamna watu wanashuka tu bondeni
Yangu yalikua hayo tuUmeelewa ulichokisoma?