Aliyekuwa kocha wa yanga afutiwa vibali vya kufanya kazi

Aliyekuwa kocha wa yanga afutiwa vibali vya kufanya kazi

Ninyi mna matatizo.
Hata dstv ya elf 79 mmeshindwa kumunulia kocha.
Acha awatukane

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Madai ya kijinga sana haya......umeajiriwa na kulipwa mshahara... Majukumu ya dstv..au gari la kutembelea sio la wana yanga....mshahara wake atautumia kwenye nini hasa? Kocha anataka hata jukumu la kumfurahisha mkewe tubebe sisi?
 
Kama gsm.walimwambia watampa hyo dstv.kwanini anunue mwenyewe?.
Najua gari kununuliwa ingekuwa ni ndoto.
Basi hata dstv mmeshindwa?
Madai ya kijinga sana haya......umeajiriwa na kulipwa mshahara... Majukumu ya dstv..au gari la kutembelea sio la wana yanga....mshahara wake atautumia kwenye nini hasa? Kocha anataka hata jukumu la kumfurahisha mkewe tubebe sisi?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Naye kazidi,yaani dstv ni kitu cha kulilia public kwenye media ?sisi wenyewe dstv tunalipia na kuangalia sasa kocha anayelipwa mkwanja mzuri anapolilia vifurushi vya dstv akili itakuwa haimtoshi
Kwani DStv Shs ngapi?
Kashindwa elfu 90 na Shs 44,000 kila mwezi.
Yule nguruwe aondoke tu.
 
Hawa jamaa janja janja sana.
Sakata la morrison tukasema labda morrison ana matatizo. Haya juzi kocha wao mkuu.
Ameliamsha...
Tena kafika mbali kuwa viongozi wa yanga hawana ELIMU.
Hadi kifurushi cha internet si dstv tu,hawa nyani ni matapeli

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Samahani,

Hamna taifa linalopenda Tanzania kama Afrika Kusini, watu wa Afrika Kusini wanapenda sana waTanzania.
 
Shirikisho la Soka la nchini Afrika Kusini (SAFA) limemfutia jumla vibali vya kazi Luc Eymael aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga kufanya kazi ndani ya nchi hiyo. Imeeleza taarifa kupitia tovuti ya SAFA.

Itakumbukwa, Eymael Julai 26 baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Lipuli alisambaza taarifa ambazo zilikuwa zinaonyesha ubaguzi wa rangi na kusema watanzania hawajui soka.

Tayari Yanga imeshamfuta kazi Eymael jumla kutokana na kitendo hicho na kuomba radhi kwa mashabiki, Serikali na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF).

Kocha huyo pia aliomba msamaha kwa kueleza kuwa alifanya hivyo kutokana na hasira alizokuwa nazo kwa kupitia kipindi kigumu ndani ya Yanga.
Watanzania kweli hawajui soka hajakosea maneno aliyoongea ni yaukweli
 
Naye kazidi,yaani dstv ni kitu cha kulilia public kwenye media ?sisi wenyewe dstv tunalipia na kuangalia sasa kocha anayelipwa mkwanja mzuri anapolilia vifurushi vya dstv akili itakuwa haimtoshi
Umegonga humo humo.
 
Hawa jamaa janja janja sana.
Sakata la morrison tukasema labda morrison ana matatizo. Haya juzi kocha wao mkuu.
Ameliamsha...
Tena kafika mbali kuwa viongozi wa yanga hawana ELIMU.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kocha auseum nae alisemaje juu ya viongozi wa simba wakati anaondoka?
 
Sasa hivi kila gazeti ukisoma wanaweka picha za wachezaji kibao wa nje kila mzuri wanamleta,mda ukifika utashangaa wanashusha garasa bongo
Hawa jamaa janja janja sana.
Sakata la morrison tukasema labda morrison ana matatizo. Haya juzi kocha wao mkuu.
Ameliamsha...
Tena kafika mbali kuwa viongozi wa yanga hawana ELIMU.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Yanga wanatuletea majitu gani? Wachezaji vichaa, makocha vichaa[emoji23][emoji23][emoji23] ona Sasa mmeambiwa utopolo Ni manyani!

Hivi Morrison wa tarehe 8 yuko wapi? Wabongo hawachelewi kukubadilikia[emoji23]
Mambo ya ubaguzi hayafai kushangilia it doesn't matter upo team gani hutakiwi kushadadia hivi vitu
 
Tangu uhuru ,zinapanda sana na wale jamaa hata visa hamna watu wanashuka tu bondeni
Hakika,

Moja ya kumbukumbu ni wakati MV Spice Islander imezama, wao ndio walikuwa wa kwanza kufika wakiwa na helkopta na vifaa vya uokozi kutoa msaada.
 
Back
Top Bottom