Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kuna nchi nguruwe wanatumika kufanya kazi nzuri. Huyu haikuwa riziki
Your interpretation of the facts ! Ndiyo nimekuwa nikisema all along! Uchafuzi. Ni racist.Kwa hiyo una prove alivyotutukana wana yanga ni un educated na tunapiga kelele kama nyani na mbwa? Jamaa ametuchafua sana.anadharau....sisi wengine tumeenda shule...why a generalize ?
Kocha auseum nae alisemaje juu ya viongozi wa simba wakati anaondoka?
Mkataba wenye kipengele cha DSTv?
Tatizo sio kulipwa mkwanja mzuri, Kama ilikuwepo kwenye mkataba mngempa tu. Mkataba Ni maandishi, ni haki yake hiyo.Naye kazidi,yaani dstv ni kitu cha kulilia public kwenye media ?sisi wenyewe dstv tunalipia na kuangalia sasa kocha anayelipwa mkwanja mzuri anapolilia vifurushi vya dstv akili itakuwa haimtoshi